Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

Dah naiona late 30s hivi.

Anyways napendaga kuona maziwa
 
Hakujua kua ww ni sexless lazima utupie na ziwa hadharani ili kujiongezea thamani?
 
Hata mm nmemuacha mkolomoje juzi juzi, alinidanganya kuwa hana Mtoto...kila siku lazima atume pesa kwao Mara Elfu 5 mda mwingine 10 akidai anamtumia bibi yake hali mbaya kwao, Nmeamua kufuatilia nikagundua na kuambiwa aliacha watoto watatu kila mmoja na baba yake alafu hao wazazi hakuna anayehudumia. Nami nimemuacha ghafla tena kikabe km afanyavyo JPM... Nasikia kwa jiran amerudi kwao kolomije...sina habar naye...acha kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe...wakolomije buana!!
Kupenda na kutamani, ni vitu viwili tofauti.Mpaka udanganywe kuna kitu
 
Mmh. Mbona yuko sahihi Mkolomije wa watu sababu nyo**o ni mali yake na yeye ndio muhusika wa kuliona sasa kwa nini na wengine walione.

Kama ni kweli umemuonea Mkolomije wa watu sababu siku zote mtu chake bana labda kama we cha wote.
Love yu
 
Wewe una adabu mwananamke stara yupo sahihi wanawake. Kama nyinyi msio na dini msio jistiri ni sasa kuachwa walajakosea wewe usio na haya ulioshindwa kujua stara katafute mjinga mwezio mlio endana kwenye tabia ya kuka uchi ILA ukufundishwa adabu na wazazi wako wanawake WOTE wanaokaa uchi wanapata zambi na mungu anawalaani sasa upo teyari huyo aliekupa punzi TENA Siku ya kufa atakuhuliza Dada jirekebishe DUNIA twapita
 
Mmh. Mbona yuko sahihi Mkolomije wa watu sababu nyo**o ni mali yake na yeye ndio muhusika wa kuliona sasa kwa nini na wengine walione.

Kama ni kweli umemuonea Mkolomije wa watu sababu siku zote mtu chake bana labda kama we cha wote.
Hakika we mwanamke unajitambua,natamani nikuone nivunje ukimya,wadada wa sasa hv bhana,hapo kaanza na nyonyo mwisho utashuka hadi katikati,
Weka picha na sisi tuone kama kweli ni mkolomije au vp
 
Ameokolewa ama ndiyo amekosa mke na maji ya moto? Kwasabb tu ya ushamba wake kustuka vitu vidogo.
Ukiona hvyo ujue haijaandikwa awe mmeo na wewe uwe mkewe,kisicho riziki hakiliki dadangu,cc tunapanga lkn Mwenyezi Mungu aliishapanga
 
Hee! Jamani!

Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.

Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye WhatsApp kwa raha zangu tu. Nilipiga picha nikiwa nimevaa blauze fulani hivi maarufu sana huku uswazi ( zinaitwa "usinimaindi") zinashika bega moja tu bega jingine hakuna mshikio. Na kwa wadada zinaliacha chuchu (ziwa) likiwa wazi.

Sasa mm nilipiga picha nikiwa nimevaa hiyo blauzi huku ziwa (nyonyo) langu moja la kushoto likwa upande ambao usinimaindi haijafunika. Kwahiyo likawa wazi. Basi picha hiyo nikaiweka kama DP kwenye WhatsApp.

Mshamba huyu aliyeletwa mjini na TCU baada ya kumchagulia chuo akaanza kunigombeza. Nikamshangaa sana. Nimekosea nn? Yaani mm kuweka picha yenye kuonyesha jinsi nilivyotokelezea iwe ishu!!? Hiyo ndiyo fahari yangu, na ndiyo tambo zangu. Mwanamke shurti aringe ajionyeshe na atambe.

Ndiyo! Mwanamke sura, tabia atafundishwa na mumewe.

Basi niliamua kumblock na kum-blacklist kabisa.

Ameniharibia siku kabisa mshamba huyu. Nimemwambia sepa wajanja wasio stuka na mambo ya mjini watakuja.

Ni hayo tu.
weka picha
 
Lame...ushauri wa bure...kama huna kitu productive cha kuandika its beta usome comments za watu nakuchangia kulko kuja kutudanganya na kutafta umaarufu humu..wazo tu
 
We mwenyewe mshamba tu sexless one.... unaoneshaje matiti nje kama muhadzabe....
 
Mwanaume hapaswi kufanya maamuzi pindi akiwa na hasira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom