Nenda Sabaya lakini bila wewe haya yasingewezekana kutokea wilaya ya Hai

Umeshindwa kukomenti..
Umesikia habari yake huko kisongo watu wanatatua marinda tu
.
IMG-20211222-WA0012.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Yooote hayo yalifanyika kwa dhuluma na kuumiza watu.Kuwaumiza nafsi na miili yao.

Hayakufanyika ktk namna iliyo HAKI. Acheni kumpamba na kumvika kuwa innocent huyu mtu, tena ukiondoa kufungwa, ana adhabu ingine mbele ya mwenyezi Mungu kwa damu aliyomwaga.

Hivi umeiona ile crip ya yule bibi akimwomba mungwake kisa huyo jambazi? Angalieni ninyi vijana,njaa zisiwaondolee utu na ubinadamu
Hamna lolote moshi maisha ya kutoa rushwa na ufisadi ndio mumezoea na kurithi toka baba na babu zenu. Munaona uadilifu ndio dhambi kwa hivyo wengi munaona sabaya kupiga vita magendo na ufisadi ni mtu mbaya.
 
msisahau kuwa jela haina mwenyewe, mwenyekiti nae amekutwa na mashtaka ya kujibu.
 
Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana CCM wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.

Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii, Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.

Bila Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai haya yangeweza kutokea kwenye wilaya hii.

1. Wilaya ya Hai kupanda kwa ukusanyaji mapato kutoka ya mwisho hadi kuwa ya nne kitaifa
.
Kabla ya Sabaya wilaya hii ilikuwa imekithiri kwa rushwa, ukwepaji kodi na ufyatuaji wa fedha bandia. Leo fedha bandia zimeadimika nchini sababu ya wewe Sabaya kukamata mnyororo wote wa wafanyabiashara waliokuwa na mitambo ya kutengeneza pesa bandia.

2. Mbunge na madiwani wa CCM kushinda na kuongoza Halmashauri
Wilaya hii ilikuwa ngome ya Chadema kwa miaka mingi na kila aliyejaribu alikiona cha mtema kuni kutoka kwa Mbowe na genge lake.
Lakini kupitia Sabaya sasa jimbo la Hai ni ngome ya CCM na itawachukua miaka mingi Chadema kulirudisha tena hasa baada ya Mbowe kupoteza imani kwa wananchi wengi. Lakini pia Mbowe ametangaza kuachana na siasa za majukwaani.

Kwa kifupi mbunge ,madiwani na wenyeviti mbalimbali wa wilaya ya Hai wanakula kupitia jasho la Sabaya.

3. Kurejeshwa kwa ardhi ya waislamu iliyoporwa kwa miaka mingi
Wilaya ya Hai wamepita wakuu wa wilaya wengi lakini hakuna aliyefanikiwa kumaliza mgogoro huo mpaka Lengai Ole Sabaya alipofika na kumaliza kadhia hiyo.

NB: Sabaya ni mfungwa wa kisiasa na wafungwa wa kisiasa huwa hawamalizi vifungo vyao, hata asipotolewa na rais Samia atakuja rais mwingine atamtoa na kumpa cheo.
WEWE naye ni ukoo wa IBILISI, na IBILISI ni BABA yenu.
 
MWIZI NA JAMBAZI WACHA AFUNGWE HUYO
 
Sabaya alivyokuwa anapiga watu misumali ya ugoko,kuwavunja miguu,mikono, kuwalawiti na kuwakata masikio adhabu yake ilitakiwa iwe ni kupigwa risasi hadharani. Ili takataka kama hiyo isije ikatokea Tena duniani
 
Yooote hayo yalifanyika kwa dhuluma na kuumiza watu.Kuwaumiza nafsi na miili yao.

Hayakufanyika ktk namna iliyo HAKI. Acheni kumpamba na kumvika kuwa innocent huyu mtu, tena ukiondoa kufungwa, ana adhabu ingine mbele ya mwenyezi Mungu kwa damu aliyomwaga.

Hivi umeiona ile crip ya yule bibi akimwomba mungwake kisa huyo jambazi? Angalieni ninyi vijana,njaa zisiwaondolee utu na ubinadamu
Sabaya anatakiwa afie gerezani hakuna namna
 
Mbowe = Osama
Lakini anaingia Ikulu kwa heshima zote na mama yenu anasimama mlangoni kumpokea.
We baba yako kule Nanjilinji hadi kafa kwa kipindupingu hata Dar haijui. Muwe na heshima na viongozi wenye akili na sio kuwafananisha na hao mnaotaka wenyewe, mbusi we!
Marehemu aliwafundisha roho mbaya hadi nanyi mtakufa nayo kama yeye
 
Hivi huyu kesi yake ya Arusha hukumu bado ili iwe 60?
Wamalize ili tufungue nyingine ya ubakali ili awe na 90 kisha ya kukata masikio watu hiyo ni 15 na kuleta jumla kuu ya yeye kukaa gerezani miaka 105.
 
Ameshinda kesi zote bila mbeleko ya Dpp
 
Dogo sasa wamwachie naona sasa kashatia adabu... :D kwamba haya maveo ya kupeana huwa yanapitaga ila maisha hubaki.
 
Back
Top Bottom