Nenda Lugola, Bodaboda watakukumbuka

Lugola ingawa aliwahi kuwa polis ila alikuwa waziri Wa mambo hovyo Mara kumi ya mwigulu, alichojua Ni kuzungusha viuno tu Na tambo zisizo Na mashiko
 
ni sahihi kabisa Lugola alidhibiti. unyanyasaji wa bodaboda na ajari zilipungua sana kwa sababu kukimbizana kwenye mataa na kwingineko kulipungua. Jpm naye amewasemea makundi yote Ila hajawahi kuwasemea bodaboda kwa kuwa anaamini kura zote za bodaboda zilienda ukawa 2015.
 
Mimi sio bodaboda ila nimeshuhudia leo vijana wanakimbizwa kwenye vijiwe vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtetezi wa boda boda.

Je umefanya kautafiti kadogo ka kubaini tangia Lugola awatete hao mabodaboda wao mabodaboda wamesabanisha vifo na ulemavu wa kudumu kwa watu wangapi? Lkn pia umebaini ni bodaboda wangapi wamekufa na kujisababishia ulemavu wa kudumu.

Penda kujua pande zote mbili za shillingi ndiyo utaitafasili vizuri hiyo shillingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada, Fanya utafiti ndio uandike.
Kangi Ligola ndiye waziri wa mambo ya Ndani aliyeyumba sana hapa tz tangu Zinja thropas Agundulike pale Ngorongoro.
1.Boda boda ajal za wao kwa wao ziliongezeka mara dufu
2.Ajali za boda boda na vyombo vingine ziliongezeka
3.Boda kwa pedestrian ndio ilikuwa janga la taifa. Acha wanyoshwe tena ikiwezekana wamkamate na Kangi.
Namba unayopiga kwa kangi haipatikan
 
We waambie wafate sheria basi sio ukisimamishwa unakimbia
 
Lugola ingawa aliwahi kuwa polis ila alikuwa waziri Wa mambo hovyo Mara kumi ya mwigulu, alichojua Ni kuzungusha viuno tu Na tambo zisizo Na mashiko
Ubovu wake ulikuwa kwenye nini hasa?? Au akishaongea mkulu basi wote mnafatisha kama manyumbu? Akisema alikosea na kumrudisha mnageuka na kuanza kusifu na kupongeza!! Wooiiii
 
Tusubiri tena akiwa rais wa nchi
 
Mh Rais ulipokuwa unafungua nyumba za askari magereza kule Ukonga ulisema unampenda sana Lugola na alikuwa mwanafunzi wako pale sengerema sekondari. Ila kwa yaliyotokea ndio hivyo tena. Ila ulisisitiza unampenda.

Nimezunguka zunguka kwenye vijiwe vya bodaboda, kahawa na sehemu mbalimbali Kangi Lugola ni kipenzi cha wananchi maskini na wanyonge. Wanasema alikuwa msaada kwa waliokuwa wanaonewa na askari wasio na maadili (PT) Aliwanyoosha na alijitahidi sana japokuwa hakumaliza kabisa kero zote (hasa ubambikizaji kesi) Alafu wananchi wengi wanahoji mbona (PT) pekee ndio wamefurahi sana?

Sio Magereza au ZM? Tuache vyombo vya kiuchunguzi vitende haki kama kweli alihusika ijulikane. Ila Mh Simbachawene atembelee mule mule kama alivyokuwa anafanya ninja.
 
Lionchawene anaweza tumpe muda, sidhani na yeye ataingia kwenye mtego wa ufisadi
 
Word

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugora!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…