Nelson Mandela & Winnie

Ukiambiwa wakati wanapiga hiyo picha walivyokuwa happy. Huo uadui uliotokea baadae ulikuwa hautabiriki. S*#t really happens, dont freak over a relationship with humans aisee. Aint worth it!
 
Niliangalia stand up comedy moja ya Chriss Rock alikuwa anashangaa Mandela pamoja na kuvumilia mateso, kazi ngumu jela na unyanyasaji toka kwa Makaburu kwa miaka 27 lakini kwa miezi 6 tu akashindwa kuvumila tofauti zake na WINNIE katika ndoa mpaka wakatalakiana, NDOA SI MCHEZO........ingekuwa raha sana furaha waliyonayo katika hiyo picha ingekuwapo hadi leo na uzee wao.
 
Beautiful Onyinye = Winnie!! duuh, happy moments!! sasa ni historia, life bwana..!
 
Regarding your comment Sir,humans were are not meant to be monogamous.....
In short we have been blessed with power and ability to control our actions, but not thoughts; and there is a constant battle between the two, there are times when actions win over thoughts, but there are also times when thoughts win over actions; what matters is the ability and power to control, of which we were not meant to, at least biologically; to me monogamy is a social construct, not biological, and it is more driven by economic forces;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…