William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
- #81
kula kulala
- ha! Ha! Ha! Ha! Ha! You wish ingekuwa kweli na haihusu ila vipi slaa atarudisha kadi yetu au? Ha! Ha! Ha!
Es!
kula kulala
FMES,
Umemuona Dr Slaa kwenye hii thread yako? Kwa nini huyu mzee amekung'ang'ania hivi kwenye ubongo wako? Bora hata ungekuwa ni mwanamke! Endelea tu kusifia hawa matapeli wako akina Mchechu. Usisahau na Mndolwa yuko pale NHC.
- Au tumuulize Slaa kwa nini anilipia kadi ya CCM kila mwezi? ha! ha! ha!
Es!
Kuna genes nyingine zinalaana. Hata kabila lao ukioa wanapokezana kusalimia,leo anko,kesho ba mkwe,kesho sijui nani,yani wanapenda mteremko sana.
- Amelichukua NHC likiwa mahututi, leo ni one of the best SU katika Bongo na hakuna uwekezaji wa wageni it wala ubia na wageni, maana yake ni kwamba Mashirika yetu mengi yamekufa kutokana na kutokuwa na Viongozi wenye uwezo wa kufikiri kama wake Nehemia Msechu!
- Ndio maana ninasema wapo wangapi kama yeye ambao hawajapewa nafasi?
NEHEMIA FOR PRESIDENT!!
ES!
Ni kichefuchefu kumsifia Mchechu,anajua propaganda za vyombo vya habari hana lolote,mwizi mkubwa analipwa mshahara wa 20 milioni kwa mwezi lakini hakai ofsini kila siku anasafiri nje ili apate posho,amewapa jamaa zake tenda za kujenga ili apate 10 percent,twiga cement nako kaingia mkataba wa kifisadi! Nehemia na mwizi ambae mda wake kujulikana hauko mbali,kamati ya Zitto POAC iligundua upotevu wa 20 bilioni bila maelezo! Nehemia kajaza jamaa zake akina David Shambwe mkurugenzi wa biashara ambae alitia aibu hivi karibuni kufanya presentation yani jamaa ni bogus!
- That is not the purpose!!
Es!
- HA! HA! HA1 HA! TUNAITA BLAH! BLAH! BLAH! BLAH! AND YOU WISH INGEKUWA KWELI MAANA UNAJUA KWUA SIO KWELI NA WALA HAIHUSU, KINACHOHUSU NI SLAA KUIBA MKE WA MWANANCHI WA KAWAIDA, KUWA NA KADI YA CCM ANAYOLIPIA KILA MWEZI NA KUOA NA KUWA NA WATOTO AKIWA PADRI THAT IS WASAP?
AS FOR ME HUNIJUI SIKUJUI NDIO JF RULE, HA1 HA! HA! HA! OTHERWISE NI KWELI BABA YANGU NDIYE ALININUNULIA SHAMBA NA NDIYE ALIYENIJENGEA NYUMBA NA NDIYE HUYO HUYO SASA HIVI ALIYENIFUNGULIA KAMPUNI YANGU NINAYOIENDESHA HAPA MJINI, HA! HA! HA! HA1 HA! HA!
- I HOPE NIMEWASAIDIA NA WENGINE WENZAKO WOTE WENYE MAWAZO KAMA YAKO YA KUAMINI MNAWEZA KUNIKWAZA NA HIZI NONSENSE, HAMUWEZI MAANA YOTE HII NI KWA SABABU MNAOGOPA KUMWAMBIA SLAA ARUDISHE KADI YETU CCM!! SISI TUNASUBIRI SLAA AKANUSHE KUWA HAJAWI KILIPIA KADI YAKE YA CCM NDIO MTAJUA MAANA YA THE TRUTH!!
eS!
SASA MBONA MKUU WA KAYA ANACHUKUA WAKE ZA WATU KIBAO, na wengine anawapa ukuu wa wilaya in return??? Janga la Kitaifa ni noma- HA! HA! HA1 HA! TUNAITA BLAH! BLAH! BLAH! BLAH! AND YOU WISH INGEKUWA KWELI MAANA UNAJUA KWUA SIO KWELI NA WALA HAIHUSU, KINACHOHUSU NI SLAA KUIBA MKE WA MWANANCHI WA KAWAIDA, KUWA NA KADI YA CCM ANAYOLIPIA KILA MWEZI NA KUOA NA KUWA NA WATOTO AKIWA PADRI THAT IS WASAP? AS FOR ME HUNIJUI SIKUJUI NDIO JF RULE, HA1 HA! HA! HA! OTHERWISE NI KWELI BABA YANGU NDIYE ALININUNULIA SHAMBA NA NDIYE ALIYENIJENGEA NYUMBA NA NDIYE HUYO HUYO SASA HIVI ALIYENIFUNGULIA KAMPUNI YANGU NINAYOIENDESHA HAPA MJINI, HA! HA! HA! HA1 HA! HA! - I HOPE NIMEWASAIDIA NA WENGINE WENZAKO WOTE WENYE MAWAZO KAMA YAKO YA KUAMINI MNAWEZA KUNIKWAZA NA HIZI NONSENSE, HAMUWEZI MAANA YOTE HII NI KWA SABABU MNAOGOPA KUMWAMBIA SLAA ARUDISHE KADI YETU CCM!! SISI TUNASUBIRI SLAA AKANUSHE KUWA HAJAWI KILIPIA KADI YAKE YA CCM NDIO MTAJUA MAANA YA THE TRUTH!! eS!
- Amelichukua NHC likiwa mahututi, leo ni one of the best SU katika Bongo na hakuna uwekezaji wa wageni it wala ubia na wageni, maana yake ni kwamba Mashirika yetu mengi yamekufa kutokana na kutokuwa na Viongozi wenye uwezo wa kufikiri kama wake Nehemia Msechu!
- Ndio maana ninasema wapo wangapi kama yeye ambao hawajapewa nafasi?
NEHEMIA FOR PRESIDENT!!
ES!
- Well, Mkurugenzi wa National Housing Corp. hapa bongo Bwana Nehemia Msechu, for sure he is my National Hero, yaani hili shirika kuna wakati lilikuwa linajifia lenyewe tukaambiwa na World Bank libinafsishwe haraka sana, nimeona Awamu zote kuaniza ya kwanza wakihangaika na hili shirika, until lilipopewa huyu kijana msomi.
- Sasa NHC ni moto wa kuotea mbali, hakuna ubia wala uwekezaji na wageni ni bongo kwa bongo tu, lakini sasa linapasua kwa kushindana na mashirika kama ya Bia na Sigara, ambayo yalitushinda wabongo, huwa ninajiuliza je hakuna kuna Nehemias wengine waliokosa nafasi kwenye Taifa, I mean kama unalisoma vizuri Shirika na Nyumba sasa ni kwamba hata mashirika ya Sigara na Bia hatukuwa na sababu ya kuyauza ila tatizo lilikuwa ni uongozi tu!
- I mean NEHEMIA MSECHU FOR PRESIDENT, Imagine huyu jamaa akipewa nafasi ya kwua Rais wa Jamhuri?
Es

Es[/QUOT
wabongo wengi tuliugua utapia mlo wakati wa utoto kwa hiyo uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana kama huyu jamaa alieleta huu uzi, hebu tuambie huyu 'mchechu au msechu' anakipi?? chenye manufaa kwa watanzania walio wengi??. hivi unajua anongoza shirika la umma ambalo linatumia kodi zetu??,hivi umefuatilia kwa makini wanachofany hawa jamaa??, eti nyumba ya middle income class, zaidi ya Tsh mill150. this is crazy bussiness, shilrika llinatumia kodi zetu kuwasaidia wananchi wote au linatumikia matajiri??.hata waziri wake hawezi kutuambia shirika lake lina ongozwa na sera ipi?? kutumikia matajiri wakati hii ni nchi ya watu wenye vipato tofauti na wana haki ya kuhudumiwa na hili shirika!!, mimi binafsi nashangaa kuona shirika la umma linafanya biashara halafu faida hutuambiwa inapelekwa wapi?? na wenye shirika, labda kama huju hili ni shirika la umma ni mali yako wewe mimi na wengine, nawashauri wabadili mwelekeo la sivyo hiyo kitu wana fanya si ni bora liwe private compay ya "real estate developers", lakini siyo shirika la umma, hata wewe ukipewa mtaji unaweza kufanya hiyo baishara siyo kitu cha kushangaza ingawa ni kigeni hapa kwetu