Nehemia K. Mchechu: My national hero!

Nehemia K. Mchechu: My national hero!

Status
Not open for further replies.
- NSSF haina tatizo lolote n dio kwanza inajenga Daraja la Kigamboni!!

ES!

we mpuuzi kweli, wale ni wezi na wala rushwa, kuna mmoja yuko Ubungo ana kisahara mwenyeji wa Mara! Kutoa pesa mpaka rushwa. Anyway hufanyi kazi we ni kula kulala
 
we mpuuzi kweli, wale ni wezi na wala rushwa, kuna mmoja yuko Ubungo ana kisahara mwenyeji wa Mara! Kutoa pesa mpaka rushwa. Anyway hufanyi kazi we ni kula kulala

- ha! ha! ha! ha! majungu tu ndio mnajua namna ya kuyapika, lakini mkiambiwa Slaa ana mke sawa na mjukuu wake, mnachojua ni matusi tu na majungu majungu! ha! ha! ha!

ES!
 
- Kumbe unajua kwamba Bilicanas nayo ni NHC, saafi sana!!, so inamilikiwa na masikini mkuu? ha! ha! ha! ha!

Es

Mbowe and family si maskini. Mrs. Mbowe ni medical doctor, hakuna medical doctor maskini. Je wameiba serikalini?
 
- Tukianza na kulipia kadi ya CCM na Chadema at the same time itakuwa bomba sana, tuanze na Viongozi active kuliko wastaafu au? ha! ha1 ha!

Es!

kwani babako alifukuzishwa na kibajaji au alistaafu, ebu jibu we kula kulala bure
 
Mbowe and family si maskini. Mrs. Mbowe ni medical doctor, hakuna medical doctor maskini. Je wameiba serikalini?

- Now you see, umesema NHC wanapangisha matajiri tu, unaambiwa NHC pia ndio wamiliki wa jengo la Bilicanas unaona unavyojikanyaga! kanyaga! ha! ha! ha!

Es!
 
kwani babako alifukuzishwa na kibajaji au alistaafu, ebu jibu we kula kulala bure

- Get back to the topic hii haiwezi kukusaidia wewe wala chama chako CHADEMA, rudia kwenye topic unakataa au unakubali kuwa Msechu ni National hero?

Es!
 
- Get back to the topic hii haiwezi kukusaidia wewe wala chama chako Chadema, rudia kwenye topic unakataa au unakubali kuwa Msechu ni National hero?

Es!.........

Siwezi rudi kudiscuss topic ya mtu kula kulala bure kubwa jinga, ebu rudisha kwanza zile hele ulizowatapeli wabongo maskini.
 
- Now you see, umesema NHC wanapangisha matajiri tu, unaambiwa NHC pia ndio wamiliki wa jengo la Bilicanas unaona unavyojikanyaga! kanyaga! ha! ha! ha!

Es!........

Sijaongelea kupanga, nyumba wanazouza za bei chee mil 50. Am very smart on issues, I was born with a silver spoon on my mouth!
 
siwezi rudi kudiscuss topic ya mtu kula kulala bure kubwa jinga, ebu rudisha kwanza zile hele ulizowatapeli wabongo maskini.........

- Sio kosa langu kwamba baba yako aliogopa umande hakwenda shule, kila mtu hubeba mzigo wake kwenye maisha au? ha! ha1 ha! ha!

Es!
 
sijaongelea kupanga, nyumba wanazouza za bei chee mil 50. Am very smart on issues, I was born with a silver spoon on my mouth!........

- Smart? ha! ha! ha! ha! ha! ha! Miaka 50 majuu bongo hata baisikeli huna kazi kulia lia kwenye mitandao all the times you call that smart?

Es!
 
- Kwanza ameoa mke na kuzaa watoto akiwa padri, amemtelekeza mke na kuiba mke wa mwananchi mwenye miaka 30, na sasa ana kadi mbili za vyama vya siasa unasema ni sawa na mtu aliyebadili dini kweli? ha! ha! ha!

Es!
j4 kwa vituko kaoa kabinti hadi mahali wakamtolea wakina jitu patel daa kweli familia yenu kituko, nikija kwako pamoja na kua na miaka55 bado huna mkee unalala kwa mama wa kambo, ehee ebu nambie asbuhi kilango unamsaliaje ukiamka make ni mdogo kwako
 
Yote unajibu ila likiguswa suala la utapeli haujibu, au ndio ile doctrine kwamba silence means Yes.
 
- hE! He! UMELETEA TENA HOJA YA BABU! ha! ha! ha! ha! ha! so Mbowe ni babu? ha! ha! ha! for sure Slaa ni American Idol pamoja na Ndesamburo ni American idol, yaani unanifurahisha sana yaani ni babu kuliko aliyeishi US miaka 50 na mpaka leo anaogopa kurudi bongo? ha! ha1

Es!

kwa miaka yako 54, ungeoa na miaka 20 ungekuwa na watoto wa miaka 30, nao wangeoa/olewa at age 20 ungekuwa na vijukuu. Ungeoa at age 18 na watoto wako at 18 ungekuwa na vijukuu
 
j4 kwa vituko kaoa kabinti hadi mahali wakamtolea wakina jitu patel daa kweli familia yenu kituko, nikija kwako pamoja na kua na miaka55 bado huna mkee unalala kwa mama wa kambo, ehee ebu nambie asbuhi kilango unamsaliaje ukiamka make ni mdogo kwako

- I know mpaka Slaa akioa na mimi nitaoa, ila one thing siwezi kuiba mke wa mtu na wanawake wote hawa walivyo wengi, huoni kuwa something is not right kwa mwanaume mtumzima kuiba mke wa mtu au?

Es!
 
- Sio kosa langu kwamba baba yako aliogopa umande hakwenda shule, kila mtu hubeba mzigo wake kwenye maisha au? ha! ha1 ha! ha!

Es!........

kwani j4 anaelimu gani? afu bora babangu hategemei kula kulala bure kama wewe libabu zima linasubiri liwekewe chakula mezani na mama wa kambo.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom