Nehemia K. Mchechu: My national hero!

Nehemia K. Mchechu: My national hero!

Status
Not open for further replies.
- Mbona unasahau the deal, hoja hujibiwa kwa hoja mkija na viroja mtajibiwa viroja tu!!

Es!

Personally namuheshimu sana Mchechu kama hard worker and visionary ambaye ameligeuza shirika lililokuwa linaelekea kaburini bila sababu za msingi kufufuka upya. Kama kumsifia tumsifu kama public servant mwingine yeyote na kama ana makosa yake yasemwe just as any other public servant.

Mtu akimponda Mchechu, aje na sababu na zipimwe kama zina mantiki ama la, kuanza kuingiza U-CHADEMA na U-CCM kwenye non-partisan issues ni kukosea. Mimi sio mwana-CCM but still I respect the work he has done during the short period he has been in charge.

Lets give credits where due, na watu wakipingana na wewe sio lazima uwa-brand U-CHADEMA.
 
- Well, Mkurugenzi wa National Housing Corp. hapa bongo Bwana Nehemia Msechu, for sure he is my National Hero, yaani hili shirika kuna wakati lilikuwa linajifia lenyewe tukaambiwa na World Bank libinafsishwe haraka sana, nimeona Awamu zote kuaniza ya kwanza wakihangaika na hili shirika, until lilipopewa huyu kijana msomi.

- Sasa NHC ni moto wa kuotea mbali, hakuna ubia wala uwekezaji na wageni ni bongo kwa bongo tu, lakini sasa linapasua kwa kushindana na mashirika kama ya Bia na Sigara, ambayo yalitushinda wabongo, huwa ninajiuliza je hakuna kuna Nehemias wengine waliokosa nafasi kwenye Taifa, I mean kama unalisoma vizuri Shirika na Nyumba sasa ni kwamba hata mashirika ya Sigara na Bia hatukuwa na sababu ya kuyauza ila tatizo lilikuwa ni uongozi tu!

- I mean NEHEMIA MSECHU FOR PRESIDENT, Imagine huyu jamaa akipewa nafasi ya kwua Rais wa Jamhuri?

Es

Kwa kweli jamaa ni kichwa pamoja na timu yake ya ufundi though bado wanatakiwa wafanye designing ya low cost housing zile za kawaida kabisa kwa wananchi wengi wenye vipato vya kawaida maana kujenga nyumba ikauzwa 130 million alafu ukaiita ni ya watu wa kati inakuwa ngumu kueleweka.

Hapo nilipo bold ndio imetufikisha hapa tulipo maana kuna wengine kama bwana Msechu wana-fit zaidi kwenye utendaji kwani kuna watu wengi sana walikuwa na rekodi nzuri za kiutendaji lakini walipoingia kwenye siasa mambo yakageuka (si unajua siasa zetu hizi za zengwe.
 
Sio siri Nehemia amepata shavu la uhakika,japo hata angepewa Meneja ambaye anaweza kuongoza hata Hotel kubwa ya nyota 2 mfano Namnaani,King Palace,Wanyama,Safina au hata Chi-Chi anaweza kuongoza kwani ana-support zote kutoka kwa Mkuu wa kaya! Kama Nehemia ana uwezo basi apewe Shirika kama Tanesco au Reli tuone!!! Acha kumpamba ewe Bw.kaka ambaye mpaka hata uchaguzi wa kata ya Mzizima uliangukia pua.

Hivi kwanini watz kutoa pongezi huwa ni mgogoro, wangapi walipewa shavu na mkuu wa kaya bado wakavurunda? tutoe pongezi kama kuna kitu kimeonekana though bei ya nyumba ni kubwa lakini wameonyesha wanaweza maana NHC muda mrefu walikuwa wanategemea nyumba zilizojengwa enzi za mkoloni (ambazo zilikuwa za msajiri wa majumba) pamoja na nyingine zilizojengwa baada ya uhuru ambazo nyingi zilijengwa mwisho miaka ya mwanzoni ya miaka 1980 (baada ya hapo hakukuwa na nyumba mpya)
 
NHC ya Mchechu ni bomu linalosubiri kulipuka. Huyo unayemwita hero atakuja kuishia zero.
 
- Well, Mkurugenzi wa National Housing Corp. hapa bongo Bwana Nehemia Msechu, for sure he is my National Hero, yaani hili shirika kuna wakati lilikuwa linajifia lenyewe tukaambiwa na World Bank libinafsishwe haraka sana, nimeona Awamu zote kuaniza ya kwanza wakihangaika na hili shirika, until lilipopewa huyu kijana msomi.

- Sasa NHC ni moto wa kuotea mbali, hakuna ubia wala uwekezaji na wageni ni bongo kwa bongo tu, lakini sasa linapasua kwa kushindana na mashirika kama ya Bia na Sigara, ambayo yalitushinda wabongo, huwa ninajiuliza je hakuna kuna Nehemias wengine waliokosa nafasi kwenye Taifa, I mean kama unalisoma vizuri Shirika na Nyumba sasa ni kwamba hata mashirika ya Sigara na Bia hatukuwa na sababu ya kuyauza ila tatizo lilikuwa ni uongozi tu!

- I mean NEHEMIA MSECHU FOR PRESIDENT, Imagine huyu jamaa akipewa nafasi ya kwua Rais wa Jamhuri?

Es
william Marecela wacha kumchanganya Nehemia Msechu, sasa unataka kumuuingiza kwenye siasa za ccm za chuki, mkianza hivi na makindi yenu ndani ya CCM ataoneka ni threat na matokeo yake ni kuhujumu NHC ili aonekane hafai.
Wacheni kabisa siasa zenu kila mahali wacha jamaa apige kazi.
Tena iwe mara ya mwisho kufanya huu upofu kwa watendaji wa serikali, watu kama wewe ni Hatari kwa Taifa letu
 
Last edited by a moderator:

- ha! ha! ha! ha! ha! ha! mnaweweseka sana na jamaa Le Mutuz Biig Shoow!! ha! ha! ha!

Es!
 
Personally namuheshimu sana Mchechu kama hard worker and visionary ambaye ameligeuza shirika lililokuwa linaelekea kaburini bila sababu za msingi kufufuka upya. Kama kumsifia tumsifu kama public servant mwingine yeyote na kama ana makosa yake yasemwe just as any other public servant.

Mtu akimponda Mchechu, aje na sababu na zipimwe kama zina mantiki ama la, kuanza kuingiza U-CHADEMA na U-CCM kwenye non-partisan issues ni kukosea. Mimi sio mwana-CCM but still I respect the work he has done during the short period he has been in charge.

Lets give credits where due, na watu wakipingana na wewe sio lazima uwa-brand U-CHADEMA.

- 1/2 RESPECT!

eS!
 
Hakuna kitu pale, makandarasi wanaanza kutaifisha majengo sasa, mfano kuna lile jengo refu halijaisha pale karibia na TRA HQ linaishia mikononi mwa yule anayelijenga hadi pale lilipo mkandarasi anajenga kwa pesa yake kimyakimya na NHC wameshindwa kulipa hata mia.
acha uongo wewe lile jengo la samora karibu na tra hq nila pspf sasa nhc wanaingiaje hapo
View attachment 75463

jamaa mm mwnyewe nimemkubali kwa utendaji. sasa tunataka wizara ya ardhi ije ifungue shirika lingine litakalodili na wananchi wa kipato kidogo maana hili NHC linawanufisha watu wa daraja la kati na kuendelea. Je daraja la chini watanufaika vipi na NHC kwa hyo mama Tubaijuka naomba uje na mswada wa kuja kuanzisha shirika lingine kwa ajili ya daraja la chini .Maana hili lasasa halipo kwenye malengo yakuanzishwa kwake huko nyuma .
 
Hakuna kitu pale, makandarasi wanaanza kutaifisha majengo sasa, mfano kuna lile jengo refu halijaisha pale karibia na TRA HQ linaishia mikononi mwa yule anayelijenga hadi pale lilipo mkandarasi anajenga kwa pesa yake kimyakimya na NHC wameshindwa kulipa hata mia.

mKUU Hill jengo hapa TRA HQ sio la NHC ni mali ya PSFP njoo usome bango lake, Nehemiah kwangu Is the BEST kwakweli..but not for president now maana yeye ni mtendaji sana na si mwanasiasa, We need more Nehemia katika sehemu kama Tanesco, Sumatra, Ewura na TBS, TFDA, Bandari na sehemu kadhaa
 
Kujenga nyumba katikati ya nyumba kwa mfano pale shekilango ndio wewe anakuwa role model? Kuuza nyumba kwa bei ambayo imekuwa inflated na pesa za madawa ufisadi n.k wewe anakuwa role model? What is the real market price of housing in Tanzania? Ni kweli is easy to buy a house in USA,SWISS UK than Tanzania?watanzania tujitahidi kufanya hata simple simple analysis kabla hatujafikia any conclusion
Thanks so much.
 
Mchechu mjanja sana. Atadumu sana pale NHC ingawa nasikia kuna mpasuko mkali kati ya wa zamani na timu mpya alioingia nayo Mchechu na kibendera wake Mndolwa. Mchechu amewashika vizuri wanaSIASA wa NCHI hii ambao wanatamani kuwa na nyumba, viwanja na mashamba kila mahali.

Mchechu pia amewakamata waandishi wa habari vilivyo. Kamera, kalamu na vipaza sauti vinamfuata kila kona. Kwa kweli Mchechu atadumu sana pale NHC kama akina Kilaghane wa TPDC, Mutalemwa wa DAWASA, yule bwana wa SIDO, Yule mwingine VETA,..., wamedumu sana kwa staili hiyohiyo ya Nchechu.
 
Kazi ya serikali ni kupima,kugawa viwanja na kutoa title,kuweka na kusimamia law/policy kuanzia land management,financing,ownership etc na kuhakikisha fairness kwa kuanzisha councils/court zitakazo deal na matatizo in housing sector other than that serikali has no business in housing industry,acha developers,builders,bankers na wananchi wafanye mambo yao wenyewe,mambo kama NHC ni waste of time and taxpayer money ndio maana wako expensive kuliko hata private developer na hawawezi kumsaidia mwananchi wa kawaida
 
Nyumba zenyewe anajenga kwa mkopo wa wanunuzi na ndiyo hapa watakapomfungulia kesi ya sub standard commodity!!! Nyumba za ubia kashindwa vibaya hana hela na wabia wanajenga kwa gharama zao sasa na almost watakuwa nazo forever? Anafanya kazi kwa pupa sana kwa kuwalenga matajiri wahindi na watanzania hoi wa kipato cha chini wakitaabika. Hafai kuwa Rais wa nchi hii!!! Rais anayefaa ni yule wa kuwajali wanyonge tu!!! Umetumwa nini Field Marshall ES!!!
 
- Well, Mkurugenzi wa National Housing Corp. hapa bongo Bwana Nehemia Msechu, for sure he is my National Hero, yaani hili shirika kuna wakati lilikuwa linajifia lenyewe tukaambiwa na World Bank libinafsishwe haraka sana, nimeona Awamu zote kuaniza ya kwanza wakihangaika na hili shirika, until lilipopewa huyu kijana msomi.

- Sasa NHC ni moto wa kuotea mbali, hakuna ubia wala uwekezaji na wageni ni bongo kwa bongo tu, lakini sasa linapasua kwa kushindana na mashirika kama ya Bia na Sigara, ambayo yalitushinda wabongo, huwa ninajiuliza je hakuna kuna Nehemias wengine waliokosa nafasi kwenye Taifa, I mean kama unalisoma vizuri Shirika na Nyumba sasa ni kwamba hata mashirika ya Sigara na Bia hatukuwa na sababu ya kuyauza ila tatizo lilikuwa ni uongozi tu!

- I mean NEHEMIA MSECHU FOR PRESIDENT, Imagine huyu jamaa akipewa nafasi ya kwua Rais wa Jamhuri?

Es
Napata shida sana na UELEWA WA WATANZANIA WEZANGU WENGINE! Mwalimu alianzisha hili shirika,lengo mama likiwa ni kusaidia makazi watu wa kawaida. Na ndio maana hizi nyumba za NHC zimelea mamilioni ya vijana wa mijini nyakati zile. Matajiri for sure wanauwezo wa kujenga nyumba zao . Lakini sera za huyu bwana unayempigia debe ni kuuzia MATAJIRI NYUMBA sababu mtanzania wa kawaida hawezi nunua kwa bei wanazojiamulia kuweka. Hizi nyumba wanajengewa vigogo serikalini na wenye uwezo. Shirika la nyumba ni la shirika la UMMA, hivyo mmiliki mkuu ni serikali. Serikali hiyohiyo ndio inajua inawalipa kiasi gani watumishi wa umma, na pia inajua wastani wa vipato vya most of Tanzanians. Cha kushangaza bei ya nyumba haiendani hata kidogo na uwezo wa watumishi wa umma pamoja na watanzania wengine wa kawaida! SASA HIZI NYUMBA ZIMEJENGWA KWA AJILI YA NANI? This shows high level of disorganization within our government system! Hata kama watasema wanakopesha, still bei wanayoweka ni kumkamua mkopaji isivyostahiki! Sometimes huwa nashindwa kuelewa kwa nini tuwe na viongozi, wakati hawawezi ku reason hata simple issues! Just imagine hii NHC iko chini ya waziri tena ni professor, yet she cannot see the open reality that the prices for houses are NOT realistic for a normal Tanzanian. Kuna umuhimu gani basi wakuwa na shirika la umma ambalo halina maslahi kwa majority instead serves the capable minority? AMMA KWELI TUNA UMBU LA UONGOZI!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom