Nehemia K. Mchechu: My national hero!

Status
Not open for further replies.
j4 kwa vituko kaoa kabinti hadi mahali wakamtolea wakina jitu patel daa kweli familia yenu kituko, nikija kwako pamoja na kua na miaka55 bado huna mkee unalala kwa mama wa kambo, ehee ebu nambie asbuhi kilango unamsaliaje ukiamka make ni mdogo kwako......

Yawezekana hata kuna incest.
 
Yote unajibu ila likiguswa suala la utapeli haujibu, au ndio ile doctrine kwamba silence means Yes.

.........

- Sifa yangu namba moja ni uaminifu ndio maana sina muda wa kupoteza kujibu nonsense, ha! ha! ha! so somo limeeleweka kwamba Bilicanas ni jengo la NHC pia? ha1 ha! ha!

ES!
 
kwani j4 anaelimu gani? afu bora babangu hategemei kula kulala bure kama wewe libabu zima linasubiri liwekewe chakula mezani na mama wa kambo........

- ha! ha! ha! lakini baba yangu hatunzwi na mwanamke huko majuu yaani mwanaume mzima limekaa home mpaka mke ndiye aende kufanya kazi ya kutunza matahira ndio nile hapana! ha! ha! ha! Majuu miaka 50 hata nauli kuja likizo mpaka mke ajinyime noma si urudi tu home!! ha! ha1 ha!

Es!
 
- Smart? ha! ha! ha! ha! ha! ha! Miaka 50 majuu bongo hata baisikeli huna kazi kulia lia kwenye mitandao all the times you call that smart?

Es!..........

Niko Tanganyika, for the time being. Umri wangu mdogo, nimesoma, sijaishi nje ya nchi. Baba yangu amekufa sababu ya CCM. Nita revenge tu in future. Five at least
 
- Well, Mkurugenzi wa National Housing Corp. hapa bongo Bwana Nehemia Msechu, for sure he is my National Hero, yaani hili shirika kuna wakati lilikuwa linajifia lenyewe tukaambiwa na World Bank libinafsishwe haraka sana, nimeona Awamu zote kuaniza ya kwanza wakihangaika na hili shirika, until lilipopewa huyu kijana msomi.

- Sasa NHC ni moto wa kuotea mbali, hakuna ubia wala uwekezaji na wageni ni bongo kwa bongo tu, lakini sasa linapasua kwa kushindana na mashirika kama ya Bia na Sigara, ambayo yalitushinda wabongo, huwa ninajiuliza je hakuna kuna Nehemias wengine waliokosa nafasi kwenye Taifa, I mean kama unalisoma vizuri Shirika na Nyumba sasa ni kwamba hata mashirika ya Sigara na Bia hatukuwa na sababu ya kuyauza ila tatizo lilikuwa ni uongozi tu!

- I mean NEHEMIA MSECHU FOR PRESIDENT, Imagine huyu jamaa akipewa nafasi ya kwua Rais wa Jamhuri?

Es........

Ninakubaliana na wewe mkuu..Nehemiah ni kichwa sana..ni mfano wa kuiga na wasomi wote wa nchi hii..
 
niko Tanganyika, for the time being. Umri wangu mdogo, nimesoma, sijaishi nje ya nchi. Baba yangu amekufa sababu ya CCM. Nita revenge tu in future. Five at least........

- Hakuna aliyekuuliza upo wapi, na no body cares umri wako maana hauna faida yoyote hapa kwenye mjadala, JF ni ya watuwazima sio watu wa umri mdogo, pole sana mnaingia mahali pasipowahusu, hapa hapakuhusu wewe umri mdogo!!

Es!
 
j4 kwa vituko kaoa kabinti hadi mahali wakamtolea wakina jitu patel daa kweli familia yenu kituko, nikija kwako pamoja na kua na miaka55 bado huna mkee unalala kwa mama wa kambo, ehee ebu nambie asbuhi kilango unamsaliaje ukiamka make ni mdogo kwako..........

Mbona majanga,Mtoto anamiaka 55,mke wa baba ni around 40's,

Hivi fs wewe ndo mtoto wa kwanza wa waziri mkuu mstaafu mr. Ccm woyee...?

Vipi kashfa ya wewe kuwa tapeli wa mtandaoni,unavofikiri wanajf wa wameshasahau ulichokua ukikiabudu?

Na labda ungeeleza sababu za wewe kuhusishwa na kushinikiza kuondolewa kwa thread ile humu jamvini?

Pia unaelimu ya ubaharia,umejipanga vipi kushare ujuzi wako wa magumashi na wagogo wenzako kama si watanzania wenzako?wanapata shida sana mikoani,
 
mbona majanga,Mtoto anamiaka 55,mke wa baba ni around 40's,

Hivi fs wewe ndo mtoto wa kwanza wa waziri mkuu mstaafu mr. Ccm woyee...?

Vipi kashfa ya wewe kuwa tapeli wa mtandaoni,unavofikiri wanajf wa wameshasahau ulichokua ukikiabudu?

Na labda ungeeleza sababu za wewe kuhusishwa na kushinikiza kuondolewa kwa thread ile humu jamvini?

Pia unaelimu ya ubaharia,umejipanga vipi kushare ujuzi wako wa magumashi na wagogo wenzako kama si watanzania wenzako?wanapata shida sana mikoani,

- Hapa mjadala ni NAtional Hero Msechu, fungua thread ya FMES mjifunze kila kitu na wakati wake na pahali pake! ha! ha1 ha1 ha!

- Sawa sawa Miaka 50 ni kibabu sana una maana Mbowe Mwenyekiti wako ni kibabu? Sasa m,nafanya naye nini huko Chadema, maana hapo hatumgusi Ndesamburo wala Slaa! ha1 ha!

Es!
 
- Kwa sababu toka nizaliwe sijawahi kumuibia mtu, ila nawajua wezi wa wake za watu nimatje mmojawapo? ha! ha! ha!

Es!

umenifananisha mzee kula kulala bure mi mtoto wa mkulima nipo apa bongo na sina hata mpango kwenda uko unakosema, hoja ni kwamba we ni litapeli rudisha hela za watu
 
- Hakuna aliyekuuliza upo wapi, na no body cares umri wako maana hauna faida yoyote hapa kwenye mjadala, JF ni ya watuwazima sio watu wa umri mdogo, pole sana mnaingia mahali pasipowahusu, hapa hapakuhusu wewe umri mdogo!!

Es!

mi ni mtu mzima, nina family! Am a man enough, si kama wewe. Nina wategemezi wa kutosha. Msalimie mdogo wako Ana Kilango. Am out
 
- Hakuna aliyekuuliza upo wapi, na no body cares umri wako maana hauna faida yoyote hapa kwenye mjadala, JF ni ya watuwazima sio watu wa umri mdogo, pole sana mnaingia mahali pasipowahusu, hapa hapakuhusu wewe umri mdogo!!

Es!

pamoja na umri wake mdogo lkn hali bure wala halali bure kwa mama wa kambo
 
umenifananisha mzee kula kulala bure mi mtoto wa mkulima nipo apa bongo na sina hata mpango kwenda uko unakosema, hoja ni kwamba we ni litapeli rudisha hela za watu

- ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! labda kwanza Slaa akirudisha kadi ya CCM kwanza au? ha! ha!

Es!
 
- Hapa mjadala ni NAtional Hero Msechu, fungua thread ya FMES mjifunze kila kitu na wakati wake na pahali pake! ha! ha1 ha1 ha!

- Sawa sawa Miaka 50 ni kibabu sana una maana Mbowe Mwenyekiti wako ni kibabu? Sasa m,nafanya naye nini huko Chadema, maana hapo hatumgusi Ndesamburo wala Slaa! ha1 ha!

Es!........

Wewe umerogwa? Wapi nimezungumzia cdm?mbona unakuwa unajichekelesha kama mwanamke wa kilabuni?

Kuna haja gani ya kujaza saver wakati majibu unaweza ukanipatia hapa? Kuwa kama mwanaume wa umri wako.

Unasound kama katoto cha chekechea.

Jibu hoja yangu katika post iliyopita.

CCM woyee...
 
mi ni mtu mzima, nina family! Am a man enough, si kama wewe. Nina wategemezi wa kutosha. Msalimie mdogo wako Ana Kilango. Am out......

- Muonee huruma sana mkeo na kazi kila siku wewe kuishi kwenye mitandao tu na kubadili IDs, pole sana! ha1 ha1 ha1

Es!
 
Wakuu tuondoe matusi, kejeli na siasa kwenye hii thread, tusipoteze muda kwa mambo yasiyo ya msingi. NHC...Mchechu, tujadili......

Jamaa ana track nzuri ya kiutendaji kwa kweli, kwa wale wanaomfahamu toka enzi zake kwenye banking industry watakua mashahidi wa hilo kwa jinsi alivyoi transform CBA.

Binafsi naona background yake ya banking ndo inatuumiza walalahoi, watu wa kwenye mabank wako money oriented, kichwani mwake kila akiamka kitu anachowaza kichwani mwake ni profit, profit, profit and he is good at achieving that lakini I believe ukiwa na attitude hiyo wakati unaongoza Shirika la nyumba la Taifa hata Mungu atakuhukumu siku ya mwisho.

Labda tungepata mkurugenzi mwenye background ya Social Services au kutoka NGO flani- kungekua na tofauti.

Challenge kubwa kwa NKM na timu yake ni kukaa chini na kutafuta ideas za kujenga nyumba ambazo ni affordable kwa watanzania walio wengi.
 
wewe umerogwa? Wapi nimezungumzia cdm?mbona unakuwa unajichekelesha kama mwanamke wa kilabuni?

Kuna haja gani ya kujaza saver wakati majibu unaweza ukanipatia hapa? Kuwa kama mwanaume wa umri wako.
Unasound kama katoto cha chekechea.

Jibu hoja yangu katika post iliyopita.

Ccm woyee.......

- Duh! ha! ha! ha! Great Thinker! ha! umetisha sana yaani wewe ni genius!!

Es!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom