William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
- #61
Wakuu tuondoe matusi, kejeli na siasa kwenye hii thread, tusipoteze muda kwa mambo yasiyo ya msingi. NHC...Mchechu, tujadili......Jamaa ana track nzuri ya kiutendaji kwa kweli, kwa wale wanaomfahamu toka enzi zake kwenye banking industry watakua mashahidi wa hilo kwa jinsi alivyoi transform CBA. Binafsi naona background yake ya banking ndo inatuumiza walalahoi, watu wa kwenye mabank wako money oriented, kichwani mwake kila akiamka kitu anachowaza kichwani mwake ni profit, profit, profit and he is good at achieving that lakini I believe ukiwa na attitude hiyo wakati unaongoza Shirika la nyumba la Taifa hata Mungu atakuhukumu siku ya mwisho. Labda tungepata mkurugenzi mwenye background ya Social Services au kutoka NGO flani- kungekua na tofauti. Challenge kubwa kwa NKM na timu yake ni kukaa chini na kutafuta ideas za kujenga nyumba ambazo ni affordable kwa watanzania walio wengi..........
- Sawa sawa lakini ni uchumi kwanza sio tena yale mambo ya Ujamaa, hata huko majuu kuna kuwa na special housing kwa wasio na uwezo mkubwa lakini tofauti ni lazima ilipwe na Serikali.
Sasa bongo bado hatujafikia kuwa na huo uwezo kwanza tunahitaji kuwa Social Security System!!
Es!