neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,860
- 2,149
Helo Marafiki wa MMU! Natumaini wote ni wazima. Nilipata ajali Jumamosi 23/3/2013 nikiwa na familia yangu, namshukuuru Mungu hakuna aliyeumia.
Nakiri ya kuwa Bwana ndiye mchungaji wangu na Sitapungukiwa na kitu. Nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Kila iitwapo leo tusisahau kumtanguliza Mungu ktk shughuli zetu.. As sisi binadamu tunapanga mengi lakini yeye ndiye anaejua kesho yetu itakuwaje. Love u all.