Needs to Volunteer - Posses OCA 11g, OCP 11g.

Needs to Volunteer - Posses OCA 11g, OCP 11g.

Retreat

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
229
Reaction score
72
Hellow wana jamiiforums,

Natafuta kampuni ambayo inatumia Oracle kama database yao ili niweze kujiimarisha zaidi katika eneo hili la Database, kwa sasa nimefanikiwa kuwa Oracle Certified katika level ya ORACLE Certified Professional - Oracle Database 11g Administrator

Sitahitaji kulipwa chochote zaidi ya kupewa tu kazi za kufanya, maana nahitaji uzoefu zaidi kwa sasa. Muda wangu ni siku za wiki kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 10 jioni ndio nakuwa huru na kuendelea hata hadi saa sita usiku na pia siku zote za weekends (Yaani Jumamosi na Jumapili muda wote)


Yoyote mwenye idea ya sehemu ambayo naweza kujitolea asisite kunijuza.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

NB: Naambatanisha Logo za Certifications kwa urahisi wa rejea.
 

Attachments

  • OCP.jpg
    OCP.jpg
    7.1 KB · Views: 78
  • OCA.jpg
    OCA.jpg
    6.1 KB · Views: 74
  • SQL Expert.jpg
    SQL Expert.jpg
    6.1 KB · Views: 72
Back
Top Bottom