IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,714
- 8,118
...ahahahahaaaaa wahindi ni wanafki sanaKwavile yameshafika public itafanyiwa kazi haraka ...kwa dunia ya sasa unapoamua kufukuza mtu namna hii ambaye alikuwa kwenye top position ni vizuri kujitathimini matokeo yake maana wengine ndio kama huyu anawaanika uchi na ubaya yeye yupo zake abroad.
