Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
We kama huwajui wahindi kaa utulie, au na wewe ni wa India? Hawa washenzi walikuwa wanatubagua hata utalaamu hawana, hawataki kukaa na sisi hata kula wanajitenga wakati hawajui kitu, wananyanyasa vijana siwezi kuwatetea hata kidogo
Mimi nimekua na wahindi, nimefanya nao kazi, ukikutana na mhindi mpumbavu pamoja na mwafrica mpumbavu hauwezi jua nani muhindi nani mpumbavu.