Need to launch complaint against GSM GROUP

Need to launch complaint against GSM GROUP

Wahindi ni wanyonyaji wakubwa, wabaguzi na wanaotumikisha waswahili kwa ujira mdogo muache na yeye akome anajua huko kwao hata kazi ya bodaboda hawezi kupata kwa jinsi walivyo wengi. Hao jamaa wakija Tz huwa hawataki kurudi kwao wanasifia maisha yetu kuna vyakula vingi mboga nzuri kama samaki.
Niambie faida moja tu ya hili bandiko lako, na mimi nitakupa sababu lukuki za kwanini ni useless.

Na hii ni kwa muktadha uliopo...

Huoni kwamba bandiko lako lime igonre mambo ya msingi zaidi?
 
Niambie faida moja tu ya hili bandiko lako, na mimi nitakupa sababu lukuki za kwanini ni useless.

Na hii ni kwa muktadha uliopo...

Huoni kwamba bandiko lako lime igonre mambo ya msingi zaidi?
Huwajui wahindi, huyo anajifanya kuwa na urafiki na sisi tumsaidie lakini asikudanganye mtu hao hawanashukrani, wanaroho mbaya na za kibaguzi aende kwao akashtaki.
 
Wahindi ni wanyonyaji wakubwa, wabaguzi na wanaotumikisha waswahili kwa ujira mdogo muache na yeye akome anajua huko kwao hata kazi ya bodaboda hawezi kupata kwa jinsi walivyo wengi. Hao jamaa wakija Tz huwa hawataki kurudi kwao wanasifia maisha yetu kuna vyakula vingi mboga nzuri kama samaki.

Sasa si hao wahindi japo wakweli wanasifia wingi wa vyakula na mboga zetu kuliko wazungu wanaoona maralia,ukimwi,umasikini na ujinga pekee.

alafu acha unafiki wa kuusema ubaguzi wa wengine kibaguzi zaidi.
 
Wote hakuna mzuri kwetu, hao wahindi wanabagua ngozi nyeusi huko kwao mwaka jana wamemuuwa mwanafunzi kutoka Afrika kisa alikuwa na urafiki na binti wa kihindi
 
Very sorry brother. I will help with wtichcarft docter to make them grieve
 
Seems your wife came with me, and she earned so i played.. can u go away or as man put your original identity not talk like fake person. I have courage to show my face and original ID unlike you scare to publish even yourself. once u get courage talk to me please.
Excellent
 
Wote hakuna mzuri kwetu, hao wahindi wanabagua ngozi nyeusi huko kwao mwaka jana wamemuuwa mwanafunzi kutoka Afrika kisa alikuwa na urafiki na binti wa kihindi

Hata wewe ni uthibitisho wa namna wahindi wanavyobaguliwa hapa Bongo
 
Dear fellow, why are you attacking his English skills at that extent? With your high standard English and well educated you're wondering how he was getting 4000$ as a salary!!! Don't quote me wrong but to my view that's poverty mentality. Advice him how to get his right, if you can't don't discourage him. Ubinadamu kwanza brother
If you've been following my postings in this thread, I gave him the benefit of the doubt as far as the dramatic story he's presented concerning his arrest and deportation. However, that's his side or version of events, and we haven't heard from the other parties involved, namely GSM, Police and Immigration (and I have to say, it's highly unlikely the authorities and a business institution like GSM would hit JF to respond to Mr. Rishbah's accusations). That being said, there's obviously more to this saga than Rishbah Raj would want us to believe, his mediocre English skills aside.
 
hehehehe why so worry and telling paying VAT.. what about direct which you give to your friends without invoice.
If you are created by company inside please donot write, i would not like to post invoices and packing list and other stuff. please stay away otherwise everything will be in forum.
Reveal the truth Mr.Indian
 
This is forum folk. It is open for anybody to make a contribution and contradiction. Send him a private message if dont want his ''housemaid'' to discuss what you wrote! ... And.... .It seems that you have typically that Tanzanian, non exposure, bush, mentality of thinking that addressing someone ''a woman'' makes you genious! You made me remember my teacher who taught me fools are like other folks as long as they are silence!
Gimme a break.
 
Hata wewe ni uthibitisho wa namna wahindi wanavyobaguliwa hapa Bongo
We kama huwajui wahindi kaa utulie, au na wewe ni wa India? Hawa washenzi walikuwa wanatubagua hata utalaamu hawana, hawataki kukaa na sisi hata kula wanajitenga wakati hawajui kitu, wananyanyasa vijana siwezi kuwatetea hata kidogo
 
Muhindi mnafiki sana huyu. Alafu anaonekana ana chuki binafsi. Alipokuwa na ulaji wa ubosi pale GSM, kanyanyasa watanzania wengi sana, kwa wa kike, alikuwa anawalazimisha kutenda kitendo cha haramu. Anajulikana hasa, tabia zake kuliko enzi za wakoloni, mnyanyasaji na misifa kufa mtu, atutajie hizo nchi 10 alizofanya kazi na atupe ushahidi kwamba aliondoka kwa amani, na atwambie kwa nini haruhusiwi kuingia Dubai? kama mtaalamu sana mashopping mall Dubai yamejaa ila jamaa haweza kupanusa. Mbele ya mabosi zake naskia alikuwa anajiuza na kuwalaghai sana na kuwaponda wenzake, na hapo usije ukaona alikuwa amekonga dili na masupplier wa nchi za nje, akabumburushwa fastaaaa! Tabia nyengine haziwezi kufichika kamwe!!!!!
Naona na wewe umejiunga leo kupambana na muhindi. Mko wangapi? Hii lazima mze baba aifuatilie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom