Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,755
- 25,388
Kuna industries ambazo zipo kwa muda mrefu ni aibu labour na uhamiaji kuruhusu wageni kuja kuchukua nafasi zetu.
Basi wakitoa kibali walau wawe na rekodi isizidi miaka 2 kukaa Tanzania kwa nafasi ambazo unapaswa kumuandaa Mtanzania kushika hatamu.
Uhamiaji tumieni hii kama sehemu ya chanfamoto zilizo mbele yenu.
Mkuu huwezi zuia watu namna hiyo...
Unaruhusiwa ku-hire any talent from any country hapa nchini,ilmradi ufate sheria...Serikali haiwezi ban external workers mzee,huwezi...kama ni hivyo TZ nayo itakua inafanyiwa vibaya sana abroad....
Kuna kazi ambazo ni reserved specifically kwa ajili ya Tanzanians,ila kupiga marufuku kabisa external wasije,sidhani kama ni sawa aisee!
Na kumbuka private sector huwezi ipangia sana mambo mzee..thats one thing!