Need 4 speed!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Walevi wawili walikuwa wamepakizana kwenye pikipiki usiku.Mara ghafla mbele wakamulikwa na pair moja ya taa zenye mwanga mkali. Yule mlevi aliyekuwa akiendesha pikipiki akasema,"Hawa jamaa mbele yetu watakuwa wanashindanisha spidi za pikipiki zao,ngoja na sisi tupite katikati yao tuwaonyeshe kwamba na sisi tunaweza kwenda kasi".NB[Zile taa walizoziona mbele yao hazikuwa za pikipiki mbili,zilikuwa ni taa mbili za mbele SCANIA 124L]
 
Waliescape...au mmesahu ile thread kwamba walevi ndo wenye akili siku zote!!

Mlevi alipomwandikia mkewe "I'll be back after 45 minutes,if am not.. read the text again"
 
Mbona wapo hapa bar wanazimua, pengine lile halikuwa Scania la kawaida, lilikuwa la kichawi na uchawi mbele ya kilaji haufui dafu.
 
Back
Top Bottom