Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,618
- 25,778
Kama kila mwanafunzi anaweza kuafaulu vizuri kweli kutakua na haja gani kumpeleka mtoto shule ya private ya gharama........Elimu ya [emoji1241] ndo basi tena.Nimeyapenda sana matokeo yao.
Kanawe uso kwanza dogo
Nishanawa tyr naomba ushauri bruhKanawe uso kwanza dogo
Kwa sasa hata mambo ya TANZANIA ONE hayapoZamani uzi kama huu utakuta unatembea kwa kasi ya 5G lakini nowadays mambo ni tofauti sana
Kumbuka ata division 4 ni kafauluKama kila mwanafunzi anaweza kuafaulu vizuri kweli kutakua na haja gani kumpeleka mtoto shule ya private ya gharama........Elimu ya [emoji1241] ndo basi tena.
Nenda PGM mkuu.
PGM ngumu sanaNenda PGM mkuu.
Mimi ndo nimesema usome.PGM ngumu sana
Mwanangu Poor Brain nikutakie masomo mema ya kidato cha sitaMimi ndo nimesema usome.
Usiniletee habari ya ugumu maana anayelipa ada ni Mimi.
Takutukana sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwanangu Poor Brain nikutakie masomo mema ya kidato cha sita
Ma ma ma e e e eTakutukana sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ManinaaaaaaMa ma ma e e e e
Si kwa Makufuli kipindi kirefu tuu kulikuwa wenye majina Fulani wanakatwa wanaweka wanotakiwa sasa imebadika kama umepita vizuri unapewa haki yakoKwa Magufuri mbona ufaulu ulishuka then now days kwa Samia umepanda?
AstaManinaaaaaa
Repoti fomu itakaguliwa kila muhulaMwanangu Poor Brain nikutakie masomo mema ya kidato cha sita