NECTA yafyekelea mbali matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa baadhi ya shule za Kondoa, Kinondoni, Ubungo na Nyamagana

Tanzania....... kazi kweli kweli yaani kila mmoja anakesha kumuibia mwenzake hii kasumba haiwezi kwisha
 
Wakati wilaya nzima inafutiwa matokeo kwa upuuzi wa watendaji Mbunge wao yuko busy kuhakikisha Rais anaongezewa muda wa kukaa madarakani
Yaliyotokea Chemba sio mpango tu wa hao watendaji wachunguzwe wanasiasa pia akiwemo Mbunge wao naamini naye yupo kwenye huu upuuzi ili aje kujisifu kuwa Rais ametekeleza Ilani ya Elimu bure na wao kama Wilaya wamenufaika kwa kufaulisha vizur.
Halafu jeshi letu pendwa la polisi lilikuwa wapi kugundua huu ujinga? Wao wako busy kugundua nani kampinga Malaika na kukamata walinzani tu ila intelijensia yao imeshindwa kujua huu uhuni.
 
Tunaomba majina ya shule zilizofyekelewa mbali jamani
 
Tunaomba majina ya shule zilizofyekelewa mbali jamani

Hizi Shule za Mwanza Alliance na New Alliance hata sishangai kufutiwa matokeo ni kawaida yao hatimae safari hii wameshikwa
 
Fyekelea mbali mratibu wa elimu kondoa
Fyekelea mbali mratibu wa Elimu ubungo
Fyekelea mbali mratibi wa Elimu Nyamagana
Fyekelea mbali shule zote husika...
Fyekelea mbali wakuu washule zote za serikali....
Mkuu nilitaka kupita bila kucomment chochote ila mhh hyo signature yako naona ipo kiuchochezi. Vp unataka kufukua makaburi
 
Fyekelea mbali mratibu wa elimu kondoa
Fyekelea mbali mratibu wa Elimu ubungo
Fyekelea mbali mratibi wa Elimu Nyamagana
Fyekelea mbali shule zote husika...
Fyekelea mbali wakuu washule zote za serikali....
Naunga mkono hoja
 
Sukuma ndani Afisa Elimu Msingi

Sukuma ndani Afusa Elimu Taaluma Msingi,

Sukuma ndaniWaratibu Elimu Kata,

Sukuma ndani Walimu wa Kuu shule za Msingi,

Na wale maadmin wa magroup ya Wosap wanaosambaza pepa sukuma ndani wote!
Hekaya ZA Abunuasi
 
Shule mbili za Msingi Mkoani Mwanza ikiwemo Alliance zimefutiwa matokeo ya darasa la saba kwa ajili ya udanganyifu. Ikumbukwe Shule ya Alliance inamilikiwa na Kigogo mmoja wa hapa Mwanza mwenye wadhifa mkubwa katika Serikali yetu. Wazazi chagueni shule zenye maadili za kupeleka watoto wenu kuliko shule zinazofanya udanganyifu kama shule hizo zilizotajwa.
 
Watu tuliwahi kutoa maoni humu na kuanzisha nyuzi kuwa NECTA itue maofisa wake angalau kila wilaya kwa ajili ya shughuli zote za mitihani kuanzia kupata wa kusimamia hadi wa kusahihisha. Iache kuhusisha wakuu wa shule na maofisa elimu amabao wote lao ni moja. Ni wapigaji na watafuta sifa ili kumaintain nafasi zao. Wilaya niliyopo shule za binafsi wanajichagulia wasimamizi wa kusimamia shule zao ambao wanawaomini ili iwe rahisi kuiba mitihani. Hao waliokamatwa ni kama wameangukiwa tu jumba bovu ila ukweli ni kwamba shule nyingi wanaiba mitihani.
 
Yani kuna watu wajinga hapa duniani!??? Acha tuuu!!!! Yani mtihani WA necta unautuma Kwa wasap!???ahhhhh aiseeee
 
Tatizo linaanzia huko NECTA wangeanza kuachia kazi wao harafu waje wabunifu ili wafanye kazi kuliko kila mwaka wao suruhu ni kufuta matokeo na huku wao watendaji wa Necta hawajui wajibu wao wa kazi...
 
Hizi Shule za Mwanza Alliance na New Alliance hata sishangai kufutiwa matokeo ni kawaida yao hatimae safari hii wameshikwa
Sio hao tu rafiki shule karibu zote za msingi Tz huwa zinaonesha majibu kwa watoto ila hazibainiki tu hizo safari hii zimekamatwa
 
Back
Top Bottom