AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Habar wakuu!
Kwa habar niliyopata kutoka kwa mmoja wa wasahihishaji ni kwamba huko necta muda huu hasa huu mwezi wa 11 Wa usahihishaji mitihani kuna uzembe mkubwa sana, hasa wanafuzni wa PC ndio kuburuzwa yan mpaka huruma na sijui elimu yetu tunaipeleka wapi yani watu mmekosa utu kabisa!
Hiyo inaitwa defence mechanism, yaani wewe hukufanya maandalizi ya kutosha kujiandaa na mtihani unasingizia Necta. Wanapsychologia wanaiita displacement, yaani udhaifu wako unamsingizia mtu mwingine. We umejuaje kwamba mwezi huu Wa 11 ndo wanaburuza? Na kwanini waburuze kwa PCs na isiwe S. Mkuu we jiandae na zero tu na si vinginevyo.
jadilini hoja yake basi,muacheni yeye mwenyewe
jadilini hoja yake basi,muacheni yeye mwenyewe
mkuu niombe radhi basi!
Kwan wote sio watoto kama ww na mm nimeleta habar hii kwa msaada kwa ajili ya faida ya elimu yetu.
jadilini hoja yake basi,muacheni yeye mwenyewe
hiyo ni hoja isiyo na tija. Me cwez kuja nikasema lets say "Habari nilizopata ni kwamba Mtihani wa Form6 wamepanga kufelisha 50% ya wanafunzi kwa kutunga mtihani ulio nje na mtahala" ukaleta eti tu discuss. Ni upuuzi huo, unless una proof of some sort
nina wasiwasi na ubongo wako.