NECTA NECTA sio fair kuburuza mitihan ya watoto wetu wa kidato cha nne 2012.

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Habar wakuu!
Kwa habar niliyopata kutoka kwa mmoja wa wasahihishaji ni kwamba huko necta muda huu hasa huu mwezi wa 11 Wa usahihishaji mitihani kuna uzembe mkubwa sana, hasa wanafuzni wa PC ndio kuburuzwa yan mpaka huruma na sijui elimu yetu tunaipeleka wapi yani watu mmekosa utu kabisa!
 
Kuna haja ya MOD kuzikagua thread zinazowekwa kuona kama zinafaa
 
Habar wakuu!
Kwa habar niliyopata kutoka kwa mmoja wa wasahihishaji ni kwamba huko necta muda huu hasa huu mwezi wa 11 Wa usahihishaji mitihani kuna uzembe mkubwa sana, hasa wanafuzni wa PC ndio kuburuzwa yan mpaka huruma na sijui elimu yetu tunaipeleka wapi yani watu mmekosa utu kabisa!

Hiyo inaitwa defence mechanism, yaani wewe hukufanya maandalizi ya kutosha kujiandaa na mtihani unasingizia Necta. Wanapsychologia wanaiita displacement, yaani udhaifu wako unamsingizia mtu mwingine. We umejuaje kwamba mwezi huu Wa 11 ndo wanaburuza? Na kwanini waburuze kwa PCs na isiwe S. Mkuu we jiandae na zero tu na si vinginevyo.
 
mkuu niombe radhi basi!
Kwan wote sio watoto kama ww na mm nimeleta habar hii kwa msaada kwa ajili ya faida ya elimu yetu.
 
Sasa huyo aliekuambia,amekuambia wewe ili ufanyaje asa?mim naona wewe pamoja na huyo aliekuambia wote ni mazezeta tu..
 
Huyo aliyekuambia na wewe uliyeleta hapa nyie wote 'procesor' zenu ni zile zile. Private Candidates wengi hawajiandai vizuri kwa mtihani hasa wale wanaofanya kwa mara pili yaani re-sitters kwan huamini kwamba walishasoma na wanahitaji kufanya marudio tu. Matokeo yake wanapofeli husingizia wasahihishaji kwamba wanalipua. Hiyo ni kujaribu kuhusisha watu wengine katika kufeli kwao. Nadhani kuna umuhimu wa NECTA kufanya 'myth bursting' kwani kumekuwa na dhana potofu sana kuhusu zoezi la usahihishaji wa mitihani ambazo zitaondolewa kupitia elimu kwa umma kuhusu suala la mitihani.
 
jadilini hoja yake basi,muacheni yeye mwenyewe

hiyo ni hoja isiyo na tija. Me cwez kuja nikasema lets say "Habari nilizopata ni kwamba Mtihani wa Form6 wamepanga kufelisha 50% ya wanafunzi kwa kutunga mtihani ulio nje na mtahala" ukaleta eti tu discuss. Ni upuuzi huo, unless una proof of some sort
 
jadilini hoja yake basi,muacheni yeye mwenyewe

mkuu ahsante! Tatizo watu wa jukwaa hili la elimu sijui huwa wana tabia gan na mara nyingi hawataki kujadili hoja, mara waanze kuiponda UDOM. Yan hawaeleweki hawa watu.
 
hiyo ni hoja isiyo na tija. Me cwez kuja nikasema lets say "Habari nilizopata ni kwamba Mtihani wa Form6 wamepanga kufelisha 50% ya wanafunzi kwa kutunga mtihani ulio nje na mtahala" ukaleta eti tu discuss. Ni upuuzi huo, unless una proof of some sort

nina wasiwasi na ubongo wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom