Kwa vyuo vya serikali mfano Chuo cha Mahakama Lushoto Diploma hawapokei 4m 4...
Vya binafsi na vya serikali baadhi vinapokea. Kutegemeana na a in a ya course
Kuhusu assumption hiyo sijawahi sikia
Asante sana mkuu,
Let's say...anapenda kuendelea kusoma , tofauti na kurudia mtihani hakuna namna nyingine ambayo mtu aliepata four ya 29 anaweza kwenda soma?
Anaweza kusoma certificate au diploma katika vyuo vinavyotambuliwa na taasisi husika then akaendelea na mfumo wa elimu ya juu huko mbeleni na hao mara nyingi wanakuwa wazuri sana kuliko waliopitia Form vi.

Ila mkuu linawezekana kwa vyuo vya serikali kweli...
Halafu pia, nilisikia hakuna certificates now days, ni diploma ya 3 yrs....mwaka Wa kwanza Wa masomo wana-assume ni level ya certificate then unaunganisha...
Kwa vyuo vya serikali mfano Chuo cha Mahakama Lushoto Diploma hawapokei 4m 4... <br />Vya binafsi na vya serikali baadhi vinapokea. Kutegemeana na a in a ya course<br />Kuhusu assumption hiyo sijawahi sikia
Hivi jamani mimi nimepata IV ya 27 nna C mbili, D nne na F ya math.. kuna possibility ya kwenda form 5 hata ya private? Ama la haiwezekani kuna uwezekano wa kwenda hata chuo cha ualimu? naombeni msaada wenu wataalamu.
Bora kupiga diploma ukimaliza unaanza life au km vp unaenda degree huku ukiwa fit kitaaluma kuliko kureseat halaf ukose credit au ukiipata halaf ukute kigingi tena A level...Think twice
Leo nilikua nasikiliza Katibu mkuu wa necta akitoa taarifa ya matokeo. Kilicho nishangaza ni kuona Grade ya F ambayo ambayo inawakilisha kufeli inaanzia 0-34 kwa Olevel. Nakumbuka enzi zetu F ilikua 0-19.
Binafsi naomba waziri uliangalie upya. Hizi alama ni kubwa sana kwa grade ya F .
Tatizo watoto wengi siku hizi hawajitumi mi naona alama hizi ni nzuri ili kutoa product bora. Watoto wengi wanamaliza shule hawajui hata hesabu ya 5-9 eti form four anakuambia haiwezekani. Mtoto huyo atakwambia anajua orodha ya wachezaji wote wa ulaya na wasanii wote wa bongo.