NEC yatangaza uchaguzi mdogo kata 43, Kufanyika novemba 26

Unajichosha bure, kununuliwa sio sababu ya kurudia uchaguzi kasome vizuri Sheria inayosimamia Uchaguzi Mdogo wa Madiwani
We kweli kilaza! Ukinunuliwa si unakosa sifa za kuwa diwani Wa chama cha awali? Sasa kwa nini uchaguzi usiitishwe? Binti tuliza akili
 
ndo wawachague wagombea ambao hawatanunulika maana kama ni kweli wamenunuliwa (jambo ambalo binfsi siliamini) basi hiyo njaa ni kwa sababu mwenye chama anakula peke yake unategemea wanaokibeba wakale wapi?
Kwani unajiunga na chama ukale huko? Hayo yako huko fisiem labda
 
Serikali inajidai kubana matumizi chama chake kinanunua madiwani ili wajiuzuru na Serikali inatoa pesa kwaajiri ya kurudia uchaguzi. Ama kweli tunatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi
 
We kweli kilaza! Ukinunuliwa si unakosa sifa za kuwa diwani Wa chama cha awali? Sasa kwa nini uchaguzi usiitishwe? Binti tuliza akili
kilaza mwenyewe! Unaweza kunionyesha soko la kununua haonunaowasema liko wapi acha dharau

Kila
 
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi amesema uchaguzi mdogo unafanyika kufuatia baadhi ya madiwani kufariki, kutenguliwa na mahakama na kupoteza sifa baada ya kushindwa kuhudhuria vikao. Source Star tv habari!
 
Back
Top Bottom