NEC yatangaza uchaguzi mdogo kata 43, Kufanyika novemba 26 | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC yatangaza uchaguzi mdogo kata 43, Kufanyika novemba 26

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwakaboko King, Oct 4, 2017.

 1. Mwakaboko King

  Mwakaboko King JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2017
  Joined: Apr 22, 2015
  Messages: 1,082
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 utafanyika Novemba 26 mwaka huu.

  Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage, amesema kuwa uchaguzi huo unafanyika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo baadhi ya madiwani kufariki dunia, kujiuzulu, kutohudhuria vikao na wengine ushindi wao kutenguliwa na Mahakama.


  NEC.jpeg

  KUPATA ORODHA YA KATA ZITAKAZOFANYA UCHAGUZI HUO PAKUA HAPA​
   

  Attached Files:

 2. B

  Babati JF-Expert Member

  #21
  Oct 4, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,832
  Likes Received: 25,123
  Trophy Points: 280
  CCM ni hatari sana.
   
 3. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #22
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 629
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Weka ushahidi hapa wa majina yao na namba za kadi zao za chama
   
 4. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #23
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 629
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Fungua PDF utaona kata

   
 5. B

  Babati JF-Expert Member

  #24
  Oct 4, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,832
  Likes Received: 25,123
  Trophy Points: 280
  Moja wapo ni wewe.
   
 6. k

  kabombe JF-Expert Member

  #25
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 17,261
  Likes Received: 9,994
  Trophy Points: 280
  wazee wa chopper na kupata kata moja,wanajiandaa kutengeneza tena ulaji wa ruzuku halafu watatuambia hawajashindwa
   
 7. m

  mwayena JF-Expert Member

  #26
  Oct 4, 2017
  Joined: Apr 21, 2016
  Messages: 1,325
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Wanawashawishi madiwani wa upinzani kujiunga na ccm kwenye mikutano ya mkulu lengo ni Moja tu.sifa kwa sizonje kwamba anakubalika.wakati huo wanasahau kuwashawishi maelfu ya wapiga kura waliowapigia hao madiwani.swali ni je?pamoja nakuumbuka mlichokifanya sirini,Lengo lenu limetimia?
   
 8. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #27
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 629
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Kawaulize Mhe. Bulaya, Sugu n.k watakueleza NEC ni nini
   
 9. B

  Babati JF-Expert Member

  #28
  Oct 4, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,832
  Likes Received: 25,123
  Trophy Points: 280
  Nachokiona kwako kama una mume basi ajiandae kuoa mwanamke mwenye afya nzuri ya akili.
   
 10. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #29
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 629
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Wagombea wanadi sera zao na kupimwa na wananchi
   
 11. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #30
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 629
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Naona uwnawaza vingine! Unahitaji msaada wa kisaikolojia
   
 12. B

  Babati JF-Expert Member

  #31
  Oct 4, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,832
  Likes Received: 25,123
  Trophy Points: 280
  Badala ya kuosha watoto walale unauza sura huku.
   
 13. Florida Pangs

  Florida Pangs Member

  #32
  Oct 4, 2017
  Joined: Mar 31, 2017
  Messages: 24
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  Vyama viandae mikakati kabambe ya kushinda kwenye uchaguzi huo kwa kuweka wagombea wanaokubalika na wapiga kura badala ya kusubiri vimeshindwa then kwa kuweka wagombea wabovu alafu wakaibebesha lawama Tume.
   
 14. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #33
  Oct 4, 2017
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 25,448
  Likes Received: 26,318
  Trophy Points: 280
  Mbona hajasema kuwa sababu nyingine ni madiwani kununuliwa kama bidhaa sokoni?
   
 15. 1000 digits

  1000 digits JF-Expert Member

  #34
  Oct 4, 2017
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 2,849
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  Ila vyama vya upinzani vibadilike.
  Madiwani washirikiane na wakurugenzi kwenye miradi ya serikali ili kuondoa migongano kwenye halmashauri.
  Madiwani wawe wabunifu sana wa mbinu za kuinua maisha ya wananchi.

  Kata inakosaje hata kiwanda kimoja( Cherehani nne)?
   
 16. ngadala

  ngadala Member

  #35
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 1, 2017
  Messages: 11
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  ndo wawachague wagombea ambao hawatanunulika maana kama ni kweli wamenunuliwa (jambo ambalo binfsi siliamini) basi hiyo njaa ni kwa sababu mwenye chama anakula peke yake unategemea wanaokibeba wakale wapi?
   
 17. Rebeca 83

  Rebeca 83 JF-Expert Member

  #36
  Oct 4, 2017
  Joined: Jun 4, 2016
  Messages: 4,342
  Likes Received: 5,930
  Trophy Points: 280
  ni kweli usemayo mkuu.........
   
 18. Imvubhu

  Imvubhu Senior Member

  #37
  Oct 4, 2017
  Joined: Aug 27, 2017
  Messages: 182
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Haki na itendeke ili kuimarisha demokrasia. Wasimamizi na hasa wale wa kuhesabu kura na wa kusoma matokeo ndio waamuzi wa uchaguzi wowote ule. Ndio maana sehemu zingine mmeshuhudia watu wananyang'anya matokeo pale yanaposomwa.
   
 19. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #38
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 629
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Unajichosha bure, kununuliwa sio sababu ya kurudia uchaguzi kasome vizuri Sheria inayosimamia Uchaguzi Mdogo wa Madiwani
   
 20. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #39
  Oct 4, 2017
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,338
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Du!! Walikuwa wanasubiri wale jamaa wa Arusha wawashtue kwanza!!!!!?
   
 21. ngadala

  ngadala Member

  #40
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 1, 2017
  Messages: 11
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  mchakato wa kuhesabu kura na kutengaza matokeo uko wazi kwa sababu kwenye kituo cha kuhesabia kura na kutangaza matokeo wanakuwepo wagombea au wakala wa wagombea na wanashuhudia kila kitu kinachofanyika, msimamizi wa uchaguzi anasimamia tu mazoezi hayo.Kuhesabu kura msimamizi anawaonesha kura moja hadi ya mwisho na mawakala na wagombea ndio wanathibitisha hii kura ni ya nani hadi mwisho wote walioshuhudia wanajaza fomu ya kukubali au kutokubaliana na uhesabuji kura ulivyofanyika.Sasa ukisema wasimamizi wa uchaguzi ndio waamuzi wa uchaguzi unaonekana unatuambia jambo usilolijua au utuambie wanaamuaje uchaguzi wote kwa jinsi ulivyoona wewe na uliona wapi hilo likifanyika, kituo gani cha uchaguzi, cha kata gani kwenye uchaguzi uliona yanafanyika hayo?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...