NEC yatangaza uchaguzi mdogo kata 43, Kufanyika novemba 26 | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC yatangaza uchaguzi mdogo kata 43, Kufanyika novemba 26

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwakaboko King, Oct 4, 2017.

 1. Mwakaboko King

  Mwakaboko King JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2017
  Joined: Apr 22, 2015
  Messages: 1,056
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 utafanyika Novemba 26 mwaka huu.

  Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage, amesema kuwa uchaguzi huo unafanyika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo baadhi ya madiwani kufariki dunia, kujiuzulu, kutohudhuria vikao na wengine ushindi wao kutenguliwa na Mahakama.


  NEC.jpeg

  KUPATA ORODHA YA KATA ZITAKAZOFANYA UCHAGUZI HUO PAKUA HAPA​
   

  Attached Files:

 2. Mwakaboko King

  Mwakaboko King JF-Expert Member

  #61
  Oct 5, 2017
  Joined: Apr 22, 2015
  Messages: 1,056
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Unamaanisha nini hapa? unaweza kufafanua hoja yako!
   
 3. n

  ngilenengo1 JF-Expert Member

  #62
  Oct 5, 2017
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 891
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Kwamba Wakurugenzi watende haki ili wapinzani wasipate sabb yyt ya kukinukisha
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #63
  Oct 6, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 18,921
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Kule ambako Biashara Chafu ya Kununua wanadamu ilifanyika
   
 5. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #64
  Oct 10, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 514
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 80
  Watajinukishia wao wenyewe na familia zao Watanzania hatutaki ujinga, Tanzania kwanza
   
 6. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #65
  Oct 10, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 514
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 80
  Na wewe umeuzwa?
   
 7. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #66
  Oct 11, 2017
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 6,983
  Likes Received: 5,291
  Trophy Points: 280
  Hizi chaguzi zitawapa upinzani platform ya kutukana serikali
   
 8. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #67
  Oct 13, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 514
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 80
  Kwani mtu akitukana sheria inasemaje?
   
 9. mgusi mukulu

  mgusi mukulu JF-Expert Member

  #68
  Oct 14, 2017
  Joined: Oct 24, 2013
  Messages: 663
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 80
  Kwakweli upinzani waweke mawakala makini na wasio na tamaa hawa jamaa wapo tayari hata kuwaonga mawakala pesa ndefu ili tu wasaini matokeo ...
  Pia wawe makini sana kwenye kusaiini matokeo ya uchaguzi unaweza kusaini mbili kwa wakati mmoja moja ikiwa na matokeo halisi moja ikawa haina matokeo. Tena ikibidi hata watumie smartphone kupiga picha matokeo..na kutumiana kila kituo kutokana na kata husika. Wasimamizi wakuu wa uchaguzi watakuwa ni watumishi wa umma hasa makada wa chama tawala .
   
Loading...