NEC yatangaza uchaguzi mdogo kata 43, Kufanyika novemba 26 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC yatangaza uchaguzi mdogo kata 43, Kufanyika novemba 26

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwakaboko King, Oct 4, 2017.

 1. Mwakaboko King

  Mwakaboko King JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2017
  Joined: Apr 22, 2015
  Messages: 1,081
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 utafanyika Novemba 26 mwaka huu.

  Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage, amesema kuwa uchaguzi huo unafanyika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo baadhi ya madiwani kufariki dunia, kujiuzulu, kutohudhuria vikao na wengine ushindi wao kutenguliwa na Mahakama.


  NEC.jpeg

  KUPATA ORODHA YA KATA ZITAKAZOFANYA UCHAGUZI HUO PAKUA HAPA​
   

  Attached Files:

 2. M

  Makambo zali Senior Member

  #2
  Oct 4, 2017
  Joined: Sep 23, 2017
  Messages: 183
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 80
  Arusha Meru ni kaa la moto,limesambaa katika kata nyingi baada ya nassari na lema kuvunja miguu hoja za kwamba "wanahama kwa kukubali utendaji".
   
 3. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 629
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Safi sana! Kila mgombea ajipange kuwaletea maendeleo wananchi
   
 4. Caroline Hans

  Caroline Hans JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 7, 2017
  Messages: 629
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Subiri Novemba 26 ndo utajua kwa nini kenge haogi maji ya moto!
   
 5. M

  Mtarban JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2017
  Joined: Jan 14, 2015
  Messages: 3,214
  Likes Received: 3,571
  Trophy Points: 280
  Upinzani wajindae kuabiliana na figisu tu hasa kwenye maeneo ambako madiwani Wa chadema walijiuzulu. ccm hawatataka kuaibika
   
 6. Dragoon

  Dragoon JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2017
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 6,933
  Likes Received: 7,168
  Trophy Points: 280
  Wanachama wenye makazi yenu mitandaoni anzeni kampeni basi, tunataka kusikiliza sera zenu za kulialia.
   
 7. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2017
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,951
  Likes Received: 1,399
  Trophy Points: 280
  Lakini wataaibika tu hawa lumumba fc.
   
 8. Frank Wanjiru

  Frank Wanjiru JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2017
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 5,740
  Likes Received: 5,487
  Trophy Points: 280
  Sizonje arudi tena Arusha kwenye kampeni kukamilisha kazi aliyoiasisi.
   
 9. CHARMILTON

  CHARMILTON JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2017
  Joined: May 30, 2015
  Messages: 6,322
  Likes Received: 8,811
  Trophy Points: 280
  Tungeokoa gharama kubwa kwenye hizi chaguzi kama madiwani wa CHADEMA wasingekuwa na tabia ya kujiuza.
   
 10. Online Pastor

  Online Pastor JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2017
  Joined: Sep 7, 2017
  Messages: 1,782
  Likes Received: 1,394
  Trophy Points: 280
  Mwakaboko King unaweza kuzikopi na kuzipesti hizo kata hapa hapa tukaweza kuzisoma?
   
 11. nkanga chief

  nkanga chief JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2017
  Joined: May 31, 2016
  Messages: 2,101
  Likes Received: 1,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2017
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,318
  Likes Received: 12,831
  Trophy Points: 280
  Mbowe: "Wananchi hali ya uchumi ikoje"
  Wananchi: "mbaaaayaaaaaaaaaa!"
  Mwisho wa kunukuu
   
 13. nkanga chief

  nkanga chief JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2017
  Joined: May 31, 2016
  Messages: 2,101
  Likes Received: 1,613
  Trophy Points: 280
  HAHAHAHHAHAHAHA
   
 14. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2017
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,065
  Likes Received: 13,512
  Trophy Points: 280
  hiki kipigo watakachotandikwa hawatarudia tena tabia ya kununua madiwani
   
 15. B

  Babati JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,832
  Likes Received: 25,122
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa
   
 16. B

  Babati JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,832
  Likes Received: 25,122
  Trophy Points: 280
  Hofu yangu ni wakurugenzi ni makada wa chama tawala.
   
 17. nkanga chief

  nkanga chief JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2017
  Joined: May 31, 2016
  Messages: 2,101
  Likes Received: 1,613
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahaa
   
 18. B

  Babati JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 31,832
  Likes Received: 25,122
  Trophy Points: 280
  Hii siyo NEC ni sehemu ya CCM.
   
 19. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2017
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,318
  Likes Received: 12,831
  Trophy Points: 280
  Slowpole: juhudi za mh. rais zinaonekana au hazionekani?
  Wananchi: kimya!
  Slowpole: Flaiova ya tazara je?
  Wananchi: Kimya!
  Slowpole:Bombadier ikipita juu mnaiona hamuioni?
  Wananchi: Baah bwana wewe kwani sisi tunakula kwa macho!
  Hizo falaiovaa zitagawiwa bure!
   
 20. n

  ngilenengo1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2017
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 980
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Hii ndo tatizo pekee. Ila kila Mkurugenzi itabidi avune atakachopanda. Haki bin hali 'else' mavuno ya uharibifu wake. Lazima hili lifanyiwe kazi kwa ukamilifu wake
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...