Uchaguzi 2020 NEC yakabidhi nakala ya daftari la kudumu la wapiga kura kwa vyama vya siasa

Oneni haka kajinga jamani!

Nec ilipotoa ratiba ya wanachi kwenda kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura hivi ilikuwa ni kwenda kuchungulia kama jina lako lipo?

Alafu unajifanya una akili sana kumbe ujinga tu umekujaa.

Mlihamasishana humu kwamba humuwezi kwenda kupoteza muda wenu. Wana ccm wakahamasishana kwenda kuboresha taarifa zao na ndio hao wamejaa kwenye hilo daftari, sasa nyie mnashangilia Lisu anashinda. Anashinda kwa kupigiwa kura na mawe?
Kwa hiyo ile Mln. 20 iliyohakikiwa yote ilikuwa ni CCM? Kima kweli wewe, au mlikuwa mnajitekenya wenyewe kusudi mshinde kwenye mitaa kwa 99%?
 
Majina yatabandikwa vituoni mkuu.
Kabla ya uchaguzi utatakiwa uhakiki jina lako kituo ulichojiandikisha ndo upange foleni ukiwa na uhakika wa kuwepo kwenye daftari la mpiga kura
Ninaamini hilo daftari ni uongo na lenye ovu maana tume usikute ina daftari jingine kabisa. Ninaomba wapinzani watoe majina yaliyomo ili kila mpiga kura some jina lake kama lipo
 
Pongezi nyingi kwa tume,

Tunaimani kuwa mpo katika kusimamia haki na kazi zenu nzuri ndio zitakazotuletea viongozi bora wa Taifa letu.

Mungu atubariki sote tuwe na uchaguzi wa amani na wenye tija kwa Taifa letu.
Ujumbe mahsusi sana toka kwako.

Sijawahi kukusoma ukiwa makini kiasi hiki. Nadhani hewa chafu inaanza kupungua, watu wanaanza kupumua kwa raha zao.

Nitaungana nawe kushangilia endapo uchaguzi utafanyika katika mazingira hayo uliyoyaeleza hapo juu na bado upande wako ukainuka kidedea.

Tunataka ushindi uwe ni Tanzania.
 
Ninaamini hilo daftari ni uongo na lenye ovu maana tume usikute ina daftari jingine kabisa. Ninaomba wapinzani watoe majina yaliyomo ili kila mpiga kura some jina lake kama lipo
Mkuu hapo una maana gani unaposea tume ina daftari jingine?
 
Magufuli bye bye rudi chato ukachunge mbuzi.

TUMECHOKA
Mmechoka wewe na nani - kwamba:-
(i). Mmechoka kupita kwenye flyover?
(ii). Mmechoka kutembea juu ya lami?
(iii). Mmechoka kupata mikopo ya elimu ya juu?
(iv). Mmechoka kupata elimu bure?
(v). Mmechoka kupanda ndege?

Mkataa pazuri mkuu!
Hata hivyo mkishinda atawakabidhi ofisi ili nanyi muone uongozi ulivyokuwa mgumu
 
Kwa hiyo ile Mln. 20 iliyohakikiwa yote ilikuwa ni CCM? Kima kweli wewe, au mlikuwa mnajitekenya wenyewe kusudi mshinde kwenye mitaa kwa 99%?
Sasa mlipokuwa mnakata viuno humu eti hatuendi, ulifikiri unamkomoa nani?

Subiri tarehe 28 mnyolewe.
 
Sasa mlipokuwa mnakata viuno humu eti hatuendi, ulifikiri unamkomoa nani?

Subiri tarehe 28 mnyolewe.
Unajaza server tu humu, comments zako ni kipimo tosha cha kupima IQ na EQ. Sitaki kujibizana na kima kama wewe tena, husije ukaniachia maradhi ya ujinga bure maana huko mie kitambo tu niliishatoka!
 
Pongezi nyingi kwa tume,

Tunaimani kuwa mpo katika kusimamia haki na kazi zenu nzuri ndio zitakazotuletea viongozi bora wa Taifa letu.

Mungu atubariki sote tuwe na uchaguzi wa amani na wenye tija kwa Taifa letu.
Joka na Ibilisi mwisho wake unakaribia.

Ngoja tukahakiki kama hiyo nakala ndio kama waliyobaki nayo au wamechakachua.

Sisi ni akili Kubwa.
 
Tume huru inajitoa kwenye lawama mapema.
wasiseme tume inapendelea,hapo akuna visingizio,idadi ya wapiga kura imekabidhiwa,idadi ya vituo imekabidhiwa,taratibu zote zimewekwa wazi akuna kisingizio.
 
Back
Top Bottom