MAANDAMANO.
Legal and Human Rights Centre
Makubaliano: Tukutane Salander Bridge mchana huu (saa nane); tuwe na mabango ili kuishinikiza serikali kuacha kufanya mzaha na afya za watu.
Tujitokeze kwa wingi; tutakubaliana zaidi cha kufanya baada ya hapo.
Legal and Human Rights Centre | Facebook
Rais jk, ameitisha mkutano wa dharura wa nec mjini dodoma utakaofanyika tar 12 feb, naye nape amekiri uwepo wa mkutano huo na kusema lengo ni kujadili katiba mpya ya ccm.
Rais jk, ameitisha mkutano wa dharura wa nec mjini dodoma utakaofanyika tar 12 feb, naye nape amekiri uwepo wa mkutano huo na kusema lengo ni kujadili katiba mpya ya ccm.
Rais jk, ameitisha mkutano wa dharura wa nec mjini dodoma utakaofanyika tar 12 feb, naye nape amekiri uwepo wa mkutano huo na kusema lengo ni kujadili katiba mpya ya ccm.
Lakini hawagombei Uraisi wa nchi Mkuu! Watu walionywa wasikimbilie Ikulu hawakuzingatia maana ya maneno yale. Matokeo yake ndiyo haya kuzimia jukwaani!kama kweli wewe una elimu ya chuo kikuu utakubaliana nami kwamba GPA haina mahusiano makubwa na mafanikio katika utendaji. Zipo GPA za kweli, za chupi, za kuiba mtihani, za kuchungulia karatasi ya mtihani kwa mtahiniwa mwingine. Ni heri ukapata GPA ya 2.4 lakini ikawa halali. Wangapi wana GPA nzuri lakini wameshindwa pia kuonyesha ufanisi katika maeneo ya kazi zao?
Hakuna jipya litakalojadiliwa pale. Ni ushamba huo, hakuna habari ya katiba ya ccm. Tunajua wanataka kuwatisha wabunge kuhusiana na misimamo yao kwenye mambo yanayolisumbua taifa letu. Tunafahamu pia kuwa hakutakuwa na waandishi wa habari katika kikao hicho. Kwa hiyo yote atakayoyasema nape hatutayaamini.
CCM haina dila wala mwelekeo wa kuikomboa Tanzania katika matatizo yaliyopo.
Kuna viongozi wataotolewa nishai. We subiri utaja niambia.
Mkutano huu umeitishwa ili kuwaadabisha wabunge walioonesha kumdharau Rais wao, hata wengine kupendekeza kuwa apigiwe kura ya kutokuwa na imani nae!!
Ndugu wana JF,
Habari nilizozinasa hivi punde ni kwamba, mheshimiwa Rais Kikwete ameahirisha ghafla ziara yake ya kikazi katika nchi za Nordic (Denmark, Norway, Sweden, Finland) na Uholanzi, ambayo ilitakiwa aianze wiki ijayo. Sababu zilizotolewa na serikali ni kwamba JK ameahirisha ziara hiyo ili kutatua mzozo wa ndani ya chama chake ambao unafukuta sasa, ukizingatia kwamba mwaka huu chama chake kinatarajia kufanya uchaguzi mkuu...
Watu wanakufa mahospitalini bila huduma, yeye anang'ang'ana na katiba ya ccm! Hivi huyu ni rais wa Tanzania au rais wa ccm?
Bila kumrudisha Lowassa kuwa waziri mkuu it will be nothing!
Good observation. Hilo suala la katiba halina udharura wowote, kwa nini ameliitishia NEC ya dharura? Kuna dharura zilizopo, lakini amenyamaza kimyaTiming mbovu kujadili katiba ya ccm . utafunikwa na mambo ya migomo na katiba ya nchi.
Lakini cha kushangaza kingine kama ni katiba ya CCM kwa nini kiwe dharula kwa nini kisiwe wenye time table na schedule ya mwaka ya mwenyekiti na chama . Je mwenyekti na kikosi kazi chake waanafanya kazi kwa style ya zimamoto. Week by week.
Kinachokera si kikao chao...... wafanye kikao hata mwaka mzima, the issue ni PRIORITY ya nini kifanyike wakati upi...... KWA MFANO, THE BAD TIMING ALIYOIFANYA ni kuhusu posho za wabunge katika kipindi hiki cha madai ya posho za madaktariJamani kwanini mnaojiita Great thinkers mnapenda kubuni mambo au kuwa wataalamu wa kupiga ramli.
JK na wana CCM wana kikao chao cha dharula na ni vizuri kuwa na subra kupata agenda za kikao chao na sio kupiga ramli kujua wanataka kuongea nini.
Kumbukeni nao ni wasomi na wana mengi sana ya kuzungumza hususan usalama na hali ya nchi yenu, mikakati na maendeleo ya kampeni za ubunge arumeru na uwakilishi uzini na mengi mengineyo.
Wapeni pumzi wajinafasi na chama chaokatika vikao vyao sio kuwabanabana kwa kila kitu.