Sual kubwa ni kuwa kuna baadhi ya mawaziri wanataka kujiondoa ktk serikali na walishamdokeza mkulu akiwemo mtoto wa mkulima. Inasemekana MM ameshaomba mara mbili aachie ngazi ila wakamsihi aendelee. Suala lingine ni la mawaziri ambao anadai wamechoka na wanashindwa kwenda na kasi yake, anafikiri kuwatema kwa sababu za kiafya au umri
Tutajua soon!
Kwa kiongozi dhaifu kama yeye inabidi afanye hivyo....Mkuu Pasco,
Kuvunja Baraza kunahitaji baraka za NEC kweli?
Nanyie mnatuchosha na Lowasa wenu, si mmteue wenyewe awe waziri wenu?Bila kumrudisha Lowassa kuwa waziri mkuu it will be nothing!
Watu wanakufa mahospitalini bila huduma, yeye anang'ang'ana na katiba ya ccm! Hivi huyu ni rais wa Tanzania au rais wa ccm?