Shida ipo hapo , naona tatizo kubwa ni nani awajibike kwa nani
DED hawezi wajibika kwa tume ni kujidanganya kwwmba nec inaweza fanya lolote dhidi ya Mamlaka za kiutawala
Ni kawaida ngombe wa chama tawala akisharejesha fomu ni lazima ofisi zianze kufungiwa sababu wanazijua wao. Mchana mwema.Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea.
Mwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha Sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia wagombea na wadau wa Vyama vya Siasa.
Chanzo: ITV habari!
Kumbe wanajua kuwa wagombea wa CCM wakisharudisha tu wasimamizi wanakimbiaMwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea.
Mwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha Sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia wagombea na wadau wa Vyama vya Siasa.
Chanzo: ITV habari!
Kukuteua nikuteue mimi, mshahara nikupe mimi, gari nikupe mimi na nyumba nikupe mimi halafu wewe unasema wapokee fomu za wapinzani! Wakati nimesema wabaki na Bwege wao!Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi amesema ni marufuku kwa Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi kufunga ofisi muda wa kazi wakati wa kuchukua na kurejesha fomu kadhalika siku ya uteuzi wa wagombea.
Mwenyekiti wa NEC amesisitiza kuwa ni kinyume cha Sheria wasimamizi kufunga ofisi muda wa kuhudumia wagombea na wadau wa Vyama vya Siasa.
Chanzo: ITV habari!
Ongeza sautiKukuteua nikuteue mimi, mshahara nikupe mimi, gari nikupe mimi na nyumba nikupe mimi halafu wewe unasema wapokee fomu za wapinzani! Wakati nimesema wabaki na Bwege wao!
Wamefunga vioo, ila wametudhihirishia kuwa walikuwa wanafunga ofisi kweli.Ongeza sauti
Nimaanisha chaguzi ndogo za ubunge ambako wasimamizi walifunga ofisi au kutopokea fomu za wagombea wa upinzani. Sababubu ya tamko la NECTafadhali, elimu haina mwisho, kajifunze kidogo, NEC haisimamii uchaguzi wa serikali za mitaa.