Ndugu zetu Zanzibar wamefirika

Ndugu zetu Zanzibar wamefirika

Msishangae hata kwenye Biblia ipo hiyo:

1 WAKORINTHO
MLANGO 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala
wafiraji, wala walawiti,
hivyo we mzaziba umefilwa? na ni nani kakufila.
 
Msishangae hata kwenye Biblia ipo hiyo:

1 WAKORINTHO
MLANGO 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala
wafiraji, wala walawiti,

FaizaFoxy;
Yaani weye kweli unaliunga mkono neno hili kwa kulitafuta hadi kwenye Bible?? Unamaana kuwa hawa ndugu zetu wa kulee visiwani walifanywa?? Sitaki kujiaminisha kuwa, atii ccm ndo wanawafanya kihivi. Yaan nimemchukia mleta hoja na weye mchangiaji FF
 
Jecha
4a56b834013d33f7c260752a3b72d419.jpg
hivi bado hajanyaka tuzo.yake huyu msela?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani jamani jamani ha!
 
FaizaFoxy;
Yaani weye kweli unaliunga mkono neno hili kwa kulitafuta hadi kwenye Bible?? Unamaana kuwa hawa ndugu zetu wa kulee visiwani walifanywa?? Sitaki kujiaminisha kuwa, atii ccm ndo wanawafanya kihivi. Yaan nimemchukia mleta hoja na weye mchangiaji FF
Si ameandika kuwa Karume ndiye alisema, sasa kama anamzulia sheria ya mitandao inamuhusu.
 
Sasa ulitegemea Quran iongelee habari za kufirika wakati waanzilishi wake Waarabu kufirika ni kama sala vile ? Unafikiria wao ni mabwege eti ?

Hayo yako, mimi naona siku hizi mpaka wachungaji wa makanisa na mapadri ndiyo mchezo wao mpaka wanaoana wanaume kwa wanaume. Huyajuwi hayo?
 
Kufirika ni neno ambalo kwa yeyote yalie mfika MADHILA (Madhara,Majanga) anaweza kuwakilishwa na neno hili.......

Nasikia watu wengi wakilitumia neno hili pindi mambo yanapo kwenda KOMBO (ndivyo sivyo)

Watu hutumia hata neno "NIMEANITHIKA"......Daah...!! Nimesha anithika tena....!! Nimewasikia wengine wakisema ...ndio nishaafirika....!!

Sasa ni bora mleta mada akatuambia kauli hiyo ilitolewa katika mazingira yapi....!!?
 
Back
Top Bottom