evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,330
Pole sana ndugu...dawa kubwa fanya mazoez kwa sana
mhhh.ndugu yangu nakaa mkoani hususan kanda ya kaskaziniMkuu dawa ni kuhama Dar!
kidogo nalimwona wa ajabu maana hakunipa majibu kamili alipindisha maelezo hatima anamwambia wife mzee wako hana uwezo wakuzalisha ndugumkuu huyo daktari hakukupa maelekezo yakufanya zaidi ya kukupa majibu tu?
ndugu ukiniuliza mara ya mwisho ulikula chips hata sikumbukiNdio muache kula chips na kuku wa kizungu basi
ahsante ndugu nitakutafutaC24/7 itakufaa mkuu nitafute kwenye namba hii 0714 412 412/0786 437 712/0718 922 168
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante ndugu ushauri wako nitaufanyia kzKaranga mbichi mkuu, maharage mengi, samaki wabichi tafuna na carroti sana.
Alafu pia kuna mzizi mmoja wa kimaasai unaitwa "Ngororiii" unautafuna utakusaidia sana kwenye show zako yaani hadi wife ataniletea zawadi kwa kukujulisha kuhusu hii kitu.
mhhh ndugu cyo nyeto nilienda na wufe tukapiga show tukawapa spermAlipiga nyeto tu, unataka ukapime na wewe?
hapana ndugu hilo ni tatizo kama matatizo mengine inaweza kumpata mtu awaye yeyoteKwa sababu wanaume wanaosumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume ni wanaume wa Dar!
ahsante ndugu kwa ushauri wako nitaufanyia kaziDah boss we kunywa maziwa mengi na mihogo mibichi
Samaki wabichi?Karanga mbichi mkuu, maharage mengi, samaki wabichi tafuna na carroti sana.
Alafu pia kuna mzizi mmoja wa kimaasai unaitwa "Ngororiii" unautafuna utakusaidia sana kwenye show zako yaani hadi wife ataniletea zawadi kwa kukujulisha kuhusu hii kitu.
Ahsante sana kwa ushauri na maelezo ulionipa ndugu nitaufania kazi.barikiwe sanaPole mkuu hilo tatizo kitaalam laitwa Oligospermia
Husababishwa na
Joto ........joto hupunguza uzalishaji wa sperm ....ndio maana mapumbu yawanyama( binadamu). yapo nje yananing'inia
Unene ....watu wanene kutokana na kua na mafuta mengi Mara nyingi Husababisha korodan kuzungukwa ma layer ya mafuta ..sasa mafuta huzuia joto lispotee kwaiyo joto Lina harib uzalishaji wasperm.
Kazi zakukaa muda mrefu ..mfan...madereva na maboda boda ...unazalisha joto sanaaa .
Kufanya ngono Mara kwamara .
Uvutaji wa sigara ,,,sigara inaharibu uzalishaji wa sperm na motility yake
,unywaji pombe ,,,pombe hupunguza shahawa nahata hupunguza uzalishaji wa homon ya testesteron .
Mawazo hupunguza uzalishaji wa sperm.
Madawa km erthromycin na gentamycin n.k pia hupunguza sperm count .
MATIBABU .
KM LOW SPERM KWASABUBYA INTERNAL FACTOR KWAMFANO VARICOCELE INABIDI UFANYIWE SURGERY
KM NISABABU YA INFECTIONS NDAN YA URINARY AU REPRODUCTIV TRACT BASI ANTIBIOTICS ZITAHUSIKA.
KM NISABABU YA HOMONE IMBALANCE BASI PIA LAZIMA UTUMIWE MADAWA KWAAJILI YAKUBALANC HORMONE ZAKO.
mwishon wahabar .....
Sema nakushauri embu badili life style yako kwanza ( epuka izo sababu nlotaja hao juu) ALAFU FANYA MAZOEZI HUKU UKIWA UNAKULA WELL BALANCED DIET.
pole sana mkuu.
ndugu dr.alinificha ingawa aliniambia amount sikujua kwamba hicho amount ya m.8 ni kidogo cha ajabu kamwita wife chemba kamwambia hiyo situation nakamwambia asiniambiePole. Kwani Dr hukumuuliza suluhsho?
Amina na asante ......kwatatizo lolote la kiafya jus ni PM , km naweza kukusaidia moja kwamoja nitafanya ,,km niushauri tu nitafanya ...kazi zawito hizi ndugu.Ahsante sana kwa ushauri na maelezo ulionipa ndugu nitaufania kazi.barikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda anataka kujivuta kwa mkeo amle nyamandugu dr.alinificha ingawa aliniambia amount sikujua kwamba hicho amount ya m.8 ni kidogo cha ajabu kamwita wife chemba kamwambia hiyo situation nakamwambia asiniambie
Sent using Jamii Forums mobile app
mhhh ndugu cyo nyeto nilienda na wufe tukapiga show tukawapa sperm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipiga show chumbani kwa dokta au mlienda guest?mhhh ndugu cyo nyeto nilienda na wufe tukapiga show tukawapa sperm
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dokta ni mpuuzi tu, Kwanini anakuficha ilihali mmeenda kwa hiyari yenu kupima afya zenundugu dr.alinificha ingawa aliniambia amount sikujua kwamba hicho amount ya m.8 ni kidogo cha ajabu kamwita wife chemba kamwambia hiyo situation nakamwambia asiniambie
Sent using Jamii Forums mobile app