Ndugu zangu wana MMU na msio wana MMU

Ndugu zangu wana MMU na msio wana MMU

Waambie tu sababu ya kulewa na wakisha sikia ni pesa basi razima waseme mungu ana miujiza yake! Money talks
 
Basi mkuu na utubu pia ningekushauri kata a certain % uitoe kanisani au kawape wenye uhitaji hapo kitaani kwenu kama thanks giving!
 
sasa kwamtoro mimi sijaona tatizo hapo, ulienda kujipongeza kwa kuokoka, sasa handio unatakiwa kuimarika kiimani!
 
Last edited by a moderator:
yaani maisha yako yapo kama series vile mikasa haikuishi kila siku unapata mpya.
 
hahaha! nimecheka kweli, tubu na usimpe tena nafasi shetani.
 
Jaribu kuwa mtu wa kiasi,apo ungejinywea pombe kdg(tu) ela ungepewa na home ungerudi hujalewa na shetani ungemuaibisha.
 
Mmh pesa... pombe za kunuliwa.. bora ulizima nyumbani... wangedownload kabang yote.....
 
Back
Top Bottom