Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,277
- 7,955
Tulia hivo hivo dawa ikuingie
Ya kidonge au yakuchemshaTulia hivo hivo dawa ikuingie
Kataka watu waliochangia vyema respect kwako mkuu,bonge moja la idea master watu kama nyie unahitajika jamiiNyie si watu wakiletaga visa vyao humu huwa mnawaambia watafute hela ...? Basi na wewe tafuta hela ila hata ukizipata hizo hela atazitapanya huyo mbulula wako kwa huyo mchungaji wake wa mchongo kifupi wakati unazitafuta hela nenda mbali nae uwe unamtumia pesa ya matumizi tu.