- Thread starter
- #41
ukitaka kukwepa kulipa kodi muulize Reginald mengi
naomba jf ID yake nimPM...
ukitaka kukwepa kulipa kodi muulize Reginald mengi
sina hamu na kupitisha mzigo DHL au airport kutoka nje ya nchi...nakumbuka niliwahi susisa TV pale uwanjani sikurudi wala sijarudia tenaaa.
kwa hiyo now unatumia njia gani...
ukitaka kukwepa kulipa kodi muulize Reginald mengi
Uza kila ulicho nacho na umfuate yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako..............
Haswaaa......maana ndiko kwenye uzima wa milele..........Kwahiyo akishauza kila kitu kisha pesa azipeleke kanisani na yeye ahamie huko huko kila kitu au!
Haswaaa......maana ndiko kwenye uzima wa milele..........