Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
kifulambute nimependa meseji ya avater yako.awe makini afungue acount ya 5500 aone kama watamwekea ama vipi... wasipoweka afunge account
mwacheni aibiwe kidogo tuu atatusimulia na sisi!akituma hiyo account # jamaa wana uwezo wa kuchota hela huko walipo. Muambie ndugu yako aache kupenda dezo jamani, sasa uchumba na kutumiana hela vinahusianaje?isee, nisije nikasema neno baya.

wear?

Kaliwa huyo.

Huyo mwanamke anaasili ya rwanda?
Teh teh teh teh! Kweli ng'ombe hawawezi kuisha hata wachinjwe vipi

Habari zenu GT.

Nmetumiwa sasa hivi taarifa na ndugu yangu amempata mchumba kupitia hii mitandao kua amesoma profile yake na amegundua ni mtu makini. Sasa kilichotokea huyo mchumba ni wakike amemwambia asitoe siri maana atamtumia $ million kadhaa katika acount yake...halafu achukue kidogo amtumie kwa ajili ya safari ili amfuate alipo!

Je inawezekana au ndugu yangu wanataka kumwibia?

Maana mchumba mwenyewe yuko Senegal!

Namuwakilisha!