Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,808
- 7,560
Pierre Liquid hapana; ilitakiwa uwe weweJakaya anapaswa kutuomba msamaha Watanzania na Nchi za jirani. Ametukosea sana kutupa huyu mfalme, bora hata angetupa Pierre Liquid.
Pierre Liquid hapana; ilitakiwa uwe weweJakaya anapaswa kutuomba msamaha Watanzania na Nchi za jirani. Ametukosea sana kutupa huyu mfalme, bora hata angetupa Pierre Liquid.
Mpigaji tu huyo,ndie ameua upinzani nchi hii,mtamkumbuka sana Dr SlaaMbowe amelipa gharama kubwa za kuwa mpinzani kwa nchi hii. Sio mimi, sio wengi wetu tunaweza kuvumilia hayo. Ni wakumbushe watesi wa Mbowe kuwa Mungu yupo. Kila mmoja atalipiwa kwa kadri ya matendo yake. Namuombea sana Mbowe uvumilivu katika magumu mengi anayopitishwa.
J2 unakuta jitu katili na gaidi limepiga magoti kanisani eti linamuomba MUNGU.Salaam,
Kama kuna mwanasiasa ambaye amelipa gharama kubwa za kutetea upinzani hapa Nchini, basi Mbowe anaongoza kwa nyakati hizi. Tangu wakati wa Jakaya Mbowe ametumia sana rasilimali zake kuijenga CHADEMA, ameswekwa ndani na vipigo mara kwa mara.
Muhimu tu Jakaya alilinda UTU na alikuwa na ubinadamu wa kuheshimu sauti mbadala. Alivyoingia JPM amehakikisha Mbowe anafilisika, ameteua Ma DC vijana kule Hai ambao wametweza na kuharibu kila kitu cha Mbowe. Chuki ya Spika kwa Mbowe ilikuwa ya kutisha. Na sasa kama haitoshi, mizengwe ikafanyika na ubunge akashindwa.
Mbowe amelipa gharama kubwa za kuwa mpinzani kwa nchi hii. Sio mimi, sio wengi wetu tunaweza kuvumilia hayo. Ni wakumbushe watesi wa Mbowe kuwa Mungu yupo. Kila mmoja atalipiwa kwa kadri ya matendo yake. Namuombea sana Mbowe uvumilivu katika magumu mengi anayopitishwa.
MUNGU atamuinua Mbowe kuliko hao mashetaniHivi Mbowe anania kweli yakuwasaidia Watanzania au usanii
hata hao watesi wa Mbowe wanamtumainia Mungu huyo huyo,acha kujiliza,Mbowe alishachuja,ulevi na uzinzi vilitamalakiNi wakumbushe watesi wa Mbowe kuwa Mungu yupo.