Ndugu yangu acha kujitanua ofisini kwako rudi haraka nyumbani kwako mkeo analiwa

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Kama utabahatika kusoma uzi huu kabla mods hawajauondoa basi itakuwa heri kwako.

Ndugu yangu member mwenzangu wa jamii forum na jirani yangu mtaani rudi haraka home kwako muda huu kuna njema imezama ndani kwako kama kawaida yake kila ukiondoka lazima izame.

Ndugu yangu unayemiliki kigrosari pale Ilala Boma. Na unayeendesha gari aina ya Noah nyeupe na ofisi yako binafsi ambayo ni private ipo palee maeneo ya Manzese kwa Bakharesa fanya hima urudi kwako muda huu kwani yule jamaa unayeambiwaga na yule mama jilani yako mwenye nyumba nyekundu ambapo nje kuna mafundi kushona kaisha zama tayari.

Najua umeshajijua kwani si Mara ya kwanza kupewa taarifa hiyo. Ulishapewa taarifa hii na rafiki wa mkeo, ukapewa taarifa hii na yule dobi rafiki yako kipenzi ambaye anafanyie kazi zake pale kwenye kituo cha matrafiki unapoendaga kila siku jioni.

Ila cha ajabu kila ukiambiwa unabisha na kuzua zogo kubwa ukidai mkeo ni muaminifu sana hawezi kuingiza mwanaume ndani.

Mkuu nimekosa namna ya kukuambia maana nimekupm sijaona matokeo yoyote nimetafuta kila namna ya kukupa habari hii nimeshindwa kwahiyo nimeamua nitumie jukwaa hili kwani najua wewe ni member wa humu ndani.

Mkuu jamaa mwenyewe anayekuchukulia mkeo ni yule unayefanya nae biashara ya mbao.

Najua hayanihusu ila mkuu mke anauma na pia kuna magonjwa mengi siku hizi na pia shemeji anakuahibisha mtaani.

KAMA UTAWAHI KUSOMA UZI HUU KABLA MODS HAWAJATENDA KAZI YAO BASI ITAKUWA VIZURI SANA.

MKUU USIPUUZE TAFADHALI.
 
Mkuu ukiona haonyeshi ushirikiano toa ID yake ili siku tukisikia amejiua kwa kukuta Mkewe aana amberutiwa tusishangae haiwezekane wote mumwambie yeye ajifanye kichwa ngumu
 
Mtoa mada kama Mimi. Yaani nikiona jambo roho inapwita, blood flow km bomba la dawasco lililopasuka, macho hayatulii na midomo inachezacheza mpk niliseme! Kiufupi sipati utulivu mpk niseme. Na nikisema afu Hakuna hatua inayochukuliwa Naumia sana ndani! Sijui nipoje!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisheni kikundi Cha kuhabarisha umbea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom