Ndugu yake kanipenda baada ya mdogo wake kunitema.

Ndugu yake kanipenda baada ya mdogo wake kunitema.

mkuu, damu iliyokuzingua ni damu sawa na inayokulilia!

ukikatwa mguu wa kushoto, basi okoa wa kulia ukusaidie japo kuchechemea...

nakushauri kitu kimoja, achana na hiyo familia ndugu, tafuta mwanamke mwingine,

rent a space in her heart, love her so much, other things will remain constant...

Thanks mr i get u i wil make.nashukuru sana.
 
lugha yako tu uliyotumia inaonyesha you are under 24yrs old
Ihifadhi vizuri hii post ikumbuke ukifikisha miaka 30
take back the time to this date...! Utajicheka mno!!!
In fact kuna vitu huwa vinahitaji maamuzi binafsi kwakuwa una akili kamili na timamu.! Msaada tunaomba pale ambapo kwa upeo na uwezo wetu wote na akili zetu zote na elimu na maarifa yetu yote vimeshindwa

hapana,ushaur unahitajika pale ambapo kuna njia mbil na haujui wap uelekee mkuu ages haimjaj m2 ila uwezo wa ktatua na kukabil matatizo na changamoto,nashukuru kwa kunipa changamoto nyingine.
 
Ungekula wote kwanza tatizo umemwachia yule wa mwanzo
 
dah!kaka mdogo nilikuwa nimeplan kuvuta ndan,tena niliplan miez 3 ijayo nimpeleke hme,
 
Mkuu lamba huyo tena mpe vitu adimu,ishawahi kuntokea hiyo,nliumizwa na dada nkajisevia mdogo wake,Bahati nzuri akajua na yeye akaumia saaana tukawa ngoma drooo...
 
wapi MZEE kifimbo cheza hembu pitia mtaa huu kuna kijana ameshachafua lugha huku
 
Anaweza kuwa kweli amekupenda au anatengeneza sababu ya kukuweka kuwa guilty ili yule anaekuacha apate sababu itakayojustify mambo yao mi rafiki aliomba nimkumbatie baadae nikaambiwa mi ndio nimeomba na nimeomba na kiss mi pia nilichoka Sana ila nimepata nguvu baada ya kujua ilikuwa lazima niachwe mapenzi yanaumiza Sana aisee sitarajii nikimpenda binti anitambulishe hata kwa kirafiki kimoja cha kike chake ni vibaya na vinaongoza kwa kuvunja mahisiano ya watu.
 
Ivi unaukakika gani kama hawa kuzunguki? huyo ni dadake kama alikua anakupenda kweli kwanini asikwambie ukweli kama mdogo wake ana ku cheat? sasa kuna tofauti gani ya wewe na yeye?
 
kama unatamani na yeye anajileta piga tuu.
Mbona wengine nyota ya mkaa hatupati mazali
 
Back
Top Bottom