rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Naomba mnisamehe kama nitakua nimemkwaza mtu; ni katika kusaidiana na kupeana muongozo.
Nini dawa ya ndugu wavivu...
Unamtafutia ajira, anaacha baada ya muda visingizio haviishi...
Kujiajiri hataki...
Shule hataki....
Ila pesa lazima umpe na usipotoa ni lawama zisizo na mwisho....
Narudia tena kuomba samahani....asanteni kwa mchango wenu..