Ndugu wasio na shukrani!

Ndugu wasio na shukrani!

Wengine wanaanza kumchukia my wife wako kwamba ndiye anayezuia. Hapo ulisha wasaidia to the maximum, ukiwaambia wakuache nawe ujiweke sawa wanaanza majungu mbaya mbofu.

Oh yeah...wakati mwingine watu hutafuta scapegoat na kumdondoshea lawama na laana zote wawezazo!
 
Nikiwakumbuka the so called ndugu zangu, huwa najiuliza sijui kwanini imetokea mi ndugu yao...
 
Back
Top Bottom