Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,928
- 133,982
Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu.
Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
Ngoja niwahi siti ya mwanzoni make Mimi mwenyewe naihitaji
Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu.
Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
Tusubiri wadau,umeshaulizia wapi na wapi mkuu?Ngoja niwahi siti ya mwanzoni make Mimi mwenyewe naihitaji
ninayo KUBOTA DC-60Tusubiri wadau,umeshaulizia wapi na wapi mkuu?
Asante mkuu. Ila tu tunaulizia mashine simple hata kwa mashamba ya kawaida. Hiyo sio combined?