Ndugu wahesnimiwa nina Swali, Nahitaji Msaad

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Bia zimeandikwa Haziuzwi kwa Mtu mwenye Umri Chini ya Miaka 18

Kumbi za muziki zimeandikwa hivo hivo. Lakini bado unakuta vitoto vidogo viko bar vinagonga ile mambo alafu ukiingia kumbi za starehe unavikuta pia swali ni

Je Kuna sheria yoyote inayosimamia hili Watu wenye umri chini ya miaka 18 kutokunywa pombe na kuingia kumbi za starehe??
 
ndugu ntakujibu ipasavyo baada ya kufanya utafiti wa kisheria maana mwanasheria lazima ujiridhishe na majibu unayompa client
 
ndugu ntakujibu ipasavyo baada ya kufanya utafiti wa kisheria maana mwanasheria lazima ujiridhishe na majibu unayompa client
That is what i call the Art of professionalism, Nasubiri
 
fungua website ya bunge na kmbka sheria nyingi zpo kwenye kugha ya kiingereza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom