Ndugu wa Zitto waokoa Mkutano wa Slaa

Kama mkutano umesha fanyika na ukaisha salama mengine hadithi tu hizi .Waacheni Chadema wazidi kujenga Chama
 

Huu ni upuuzi kama ni kweli kwanini iwe leo?
 
Meng yatasemwa lkn ukwer utabak kuwa ukwer.Dr.S. Na wanaCDM songambele adui kashaanza kutapatapa.
 
Mleta mada kanywa pombe ya ndizi maarufu
kwa jina la KAYOGA hasa ndani ya Mkoa wa
Kigoma,mikutano hii imefanyika kadri CDM
walijipanga pia jua nyakati hizi mvua ni nyingi

Kweli kwa mvua zinazonyesha Kigoma kwa sasa na hali ya mahudhurio ilivyokuwa kwenye mikutano ya Dr. Slaa kwa hakika Chadema wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
 
Nyii maccm baada ya mbinu zenu kuingia mkenge ndiyo mnajidai ndugu wa Zito wame saidia.Zito umaarufu wake uko wapi nje ya cdm.Jiulize Lamwai yuko wapi.Wa kimmaliza hutamsikia tena.Akienda ccm ndiyo litakuwa kaburi lake maana ccm yenyewe kaburi liko tayari
 
Hata mtoto mdogo hadanganyiki....!!!
Kweli maCCM mna hali ngumu,Slaa kawazidi kete sasa mnaleta mipasho yenu kama kawaida yenu.....Poleni.
 

Safi sana zitto family kwa kuokoa chama pia hakksheni ruzuku inakaguliwa
 
sizitaki hizi mbichi , hiyo ndo lugha ya kujifariji kwa alieshindwa. Poleni sana kwa kushindwa vibaya . Kwa sisi wana masumbwi tunauita ushindi wa T O, hongera sana Dr umetutoa kimasomaso.
 
nawewe ulikuwa na bango? Au ulikuwa na silaha gani ya jadi ktk kujiandaa kuvuruga mkutano huo?
 
Mtatapa tapa sana ila CHADEMA sio one man part bi chama kubwa la mtu nyingi/nyome hata Mbowe akikosea tunapiga chini na Peoples power inaendeleza libeneke,kama mliamini Zitto ndio CHADEMA subirini muone matokeo ya barua aliyoleta,nawahakikishieni ZZK,DR na yule wa Arusha wote wanapigwa chini bila kuwaangalia usoni,huwezi fanya kazi za CCM ,ndani ya CHADEMA,hata mimi nikikosea Chama kinifukuze wala sitalalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…