Ndugu wa Zitto waokoa Mkutano wa Slaa

Dec 6, 2013
10
0
Katika Hali isiyokuwa imetarajiwa mdogo wake Zitto amefanikiwa kuokoa Mkutano wa Dr Slaa kushinwa kufanyika mjini kigoma.

Wanafamilia na ndugu wa karibu wa Zitto wakiongozwa na mdogo wake aitwae Bayona walifanikiwa kupunguza munkari wa Wana CHADEMA waliokuwa na hasira ambao waliokuwa wamejiandaa kuvuruga Mkutano huo kwa kuwataka wahudhurie Mkutano huo Bila ya kufanya vurugu huku wakisubiri matokeo ya rufaa ya Zitto kwa baraza kuu la chadema ambalo wanaamini litatenda haki na kuokoa chama.

Haijulikani kama hili limefanyika likiwa na mkono wa Zitto isipokuwa katika taarifa yeke leo mbele ya waandishi, Wakili wa Zitto aligusia kuwa Zitto haungi mkono vitendo vya fujo anavyofanyiwa Dr Slaa na kuwataka wanacham kutulia kuacha hatua za kichama ziendelee.
 

london

JF-Expert Member
Sep 12, 2010
221
0


Katika Hali isiyokuwa imetarajiwa mdogo wake Zitto amefanikiwa kuokoa Mkutano wa Dr Slaa kushinwa kufanyika mjini kigoma. Wanafamilia na ndugu wa karibu wa Zitto wakiongozwa na mdogo wake aitwae Bayona walifanikiwa kupunguza munkari wa Wana CHADEMA waliokuwa na hasira ambao waliokuwa wamejiandaa kuvuruga Mkutano huo kwa kuwataka wahudhurie Mkutano huo Bila ya kufanya vurugu huku wakisubiri matokeo ya rufaa ya Zitto kwa baraza kuu la chadema ambalo wanaamini litatenda haki na kuokoa chama. Haijulikani kama hili limefanyika likiwa na mkono wa Zitto isipokuwa katika taarifa yeke leo mbele ya waandishi, Wakili wa Zitto aligusia kuwa Zitto haungi mkono vitendo vya fujo anavyofanyiwa Dr Slaa na kuwataka wanacham kutulia kuacha hatua za kichama ziendelee.

Wewe ni mmoja wa mafyatu wachache mliobaki hapa kutengeneza story za uwongo tu. Ungeupanga vizuri uongo wako na utetezi kwa bwana nkuba wako Zitto. Chadema ni chama kikuu cha upinzani, hakihitaji kusomba watu km ccm kwenda kwenye mkutano. CCM ndo huwa wanabembeleza watu kwa magari na chakula kuhudhuria mikutano na siyo chakula na ndio wanawezatumia familia ya zitto kuleta watu mkutanoni.
 

Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,841
2,000
Alipo kuwa jimboni kwa Zitto ndugu zake hawa kusemwa kusaidia kuokoa mkutano wa Slaa baada ya mkutano wa Kigoma kufanyika kwa mafanikio makubwa ndugu zake Zitto wanasemwa kuwa ndio walio okoa mkutano.Wakati siku za nyuma huyo huyo Bayona alitajwa kuwa ndie aliye kuwa anaongoza maandamano kiasi cha k udriki hata kuvunja vijiwe vya CHADEMA pamoja na kuchana bendera za chama.Sijui huu uzuri wa leo ameutoa wapi.
 

Makala Jr

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,395
1,195
Haya ni matokeo ya division 5, hao ndugu wa Zitto wamezunguka nyumba ngapi kuhamasisha watu hadi wajaze eneo la mkutano?
 

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
1,001
1,500
dr slaa ujio wake umefanikiwa kwa asilimia 90. Vurugu zilitkea mabamba ambako jamal ni mnazi wa ccm na alishindwa na mkosamali na ata kasulu ilichangiwa na mgawanyiko ndani ya chama.walioandaa vurugu ksulu imebaki aibu kwani kigoma imewashushua.walitegemea kgma vurugu itakuwa kubwa. Ni muda muafaka wote walioshiriki washughulikiwe
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
25,964
2,000
Mleta mada kanywa pombe ya ndizi maarufu
kwa jina la KAYOGA hasa ndani ya Mkoa wa
Kigoma,mikutano hii imefanyika kadri CDM
walijipanga pia jua nyakati hizi mvua ni nyingi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom