Ndugu wa mume wanaichonganisha ndoa yangu

Ndugu wa mume wanaichonganisha ndoa yangu

pole sana kwa tatizo hilo mama.....ninaomba kukuuliza swali dogo.....huwa munashauriana na mumeo mambo yenu yote au ndo kila mtu anaamua mwenyewe?.

ktk hili ni vyema mkakubaliana wote kuwa nan aje kwa muda gani na kwasababu gani sio mtu anakuja tu kama kwenda chooni.Andaeni utaratibu mzuri mnaokubaliana na sio mtu anaamua kutuma nauli afu wanakuja kujazana tu,kama wanahitaji msaada wasaidiwe wakiwa huko.Na hapa ndipo utakaoona umuhimu wa kushauriana ktk kila jambo kwenye ndoa maana ninyi ni kitu kimoja,

Tunashauriana mambo mengi lakin sio yahusuyo nduguze haya unipa tu taarifa ila maamuz anayafanya mwenyewe
 
Basi hapa ndipo tatizo lilipoanza....cha muhimu ni kumueleza kiuwazi kbs kuwa hufurahishwi na hicho kitu na hasa ukizingatia ww ndio unaewapokea na kuwahudumia (sio kifedha) namaanisha hasa ukiwa kama mama wa familia,Pia una haki ya kujua hivyo......ajiulize na ww ukiamua kufanya hivyo itakuwaje?????.muombe kwa upendo kama mnashauriana hayo mengine basi na hilo mshauriane pia then tazama atasemaje...akikataa rudi hapa tena tukujuze.Tena mueleze wazi kbs unamuomba hivyo maana una ona kuna matatizo yanajitokeza kwenye ndoa yenu na chanzo ni hayo maamuzi yake ya kipekee.....
Nasisitiza mueleze kwa upendo kabsa tena ukipenda subr uck kumetulia mbembeleze hata kama ni katk maandalizi ya chakula cha ucku basi unaongea au hata mkitoka out...sidhan kama atakataa...fanya siku special kwaajili ya hyo kitu naamin atakuelewa
 
hivi kwa nini wanandoa mnapenda sana kujaza ndugu zenu/zetu majumbani ilihali bado mu wachanga?? kwani ndugu hawezi kusaidiwa huko aliko?? shida nini hasa??. Tukipata jibu hapa hakutakuwa na magomvi kwenye nyumba zetu.
 
Basi hapa ndipo tatizo lilipoanza....cha muhimu ni kumueleza kiuwazi kbs kuwa hufurahishwi na hicho kitu na hasa ukizingatia ww ndio unaewapokea na kuwahudumia (sio kifedha) namaanisha hasa ukiwa kama mama wa familia,Pia una haki ya kujua hivyo......ajiulize na ww ukiamua kufanya hivyo itakuwaje?????.muombe kwa upendo kama mnashauriana hayo mengine basi na hilo mshauriane pia then tazama atasemaje...akikataa rudi hapa tena tukujuze.Tena mueleze wazi kbs unamuomba hivyo maana una ona kuna matatizo yanajitokeza kwenye ndoa yenu na chanzo ni hayo maamuzi yake ya kipekee.....
Nasisitiza mueleze kwa upendo kabsa tena ukipenda subr uck kumetulia mbembeleze hata kama ni katk maandalizi ya chakula cha ucku basi unaongea au hata mkitoka out...sidhan kama atakataa...fanya siku special kwaajili ya hyo kitu naamin atakuelewa
 
hapa watu hawaelewi tu yaan ndugu wengi ni tatizo....hata umpende vipi ataona hamna jema hata moja ulilomtendea.Afu hii tabia ni wao wenyewe wenye ndoa kuruhusu hii tabia......mm nina ndoa ya miaka 5 sasa sijawahi kukaaa na ndugu zaidi ya wanaokuja kusalimia cku 2,3, kabla hajazoea anaondoka zake ...na hatujajaliwa watoto basi tunaishi wenyewe wawili....ni furaha na amani ya hali ya juu mpaka mtu akiniambia ndoa ngumu siaamini
 
Habari ndugu wanajf,naomba mniwie radhi kama nitakuwa sina mpangilio mzuri wa andiko hili.
Nimekuja hapa jf nikiamini ni mahali pekee nitakapopata ushauri ambao utanisaidia kuiokoa ndoa yangu.
Yapata mwaka na nusu sasa tangu nifunge ndoa na mume wangu kipenzi,tumejaliwa kupata mtoto mmoja wa miez 6 sasa.Tangu nifunge ndoa ndugu wa mume hawachoki kuja nyumban kwangu kutoka kijijini kwao huko singida,mwanzo ndoa yetu ilikuwa na furaha mno ila tangu movements za hawa ndugu naona dosari zinaanza.
Wamekuwa ni watu wasiokuwa na fadhila hata kidogo,wamekuwa walalamishi mno.mbaya zaid wamekuwa wakipeleka maneno ya uongo kwa kaka yao hususan pale ndugu na rafik zangu wakija kunitembelea wanasikiliza maongez yetu(maongez ambayo ni ya kawaida sana ndo maana huwa tunaongea mbele yao) wanadai kuwa ndugu zangu wananipa kiburi sasa cjui kiburi cha nn maana naish nao vizuri na kuwajali vizuri tu.
Nashindwa kuelewa lengo haswa la hawa ndugu ni nini maana sasa hivi wanakuja kwa kupokezana utafikir wanalinda kitu.Mume wangu huwa analalamika kuja kwao ila yeye ndiye anawatumia nauli sasa cjui ananijaribu?? Ila siku zote huwa nakaa kimya pale anapolalamika.
Nimejua wao ndo wachonganishi maana kuna mmoja kati yao ananipenda sana hivyo huwasikiliza wenzie na kuja kuniambia,nikajaribu kuwa busy na mambo yangu wanalalamika tena hadi mume wangu akaniambia niwe napiga nao story maana wanalalamika...hilo pekee ndilo aliloniambia ila sijaweza kumwambia sababu ya mimi kuwa mbali nao sitaki kuwachonganisha.
Mambo mengne wanayopeleka kwa kaka yao sijui hata wanayapata wapi!! Naona tu mume wangu anakuwa na hasira zisizoisha,mbaya zaid na yeye ni mtu wa kukaa na vitu moyoni.
Naipenda ndoa yangu na nataka kuinusuru...maana nimeanza kuwachukia hawa ndugu kutokana na matendo yao.Nifanyaje wanaJF??
Naomben ushauri wenu ili niinusuru ndoa yangu.Mume wangu ananipenda sana na mimi nampenda sana.naomben msaada wenu

Kazi kweli kweli, mlilie Mungu, atakupa jibu lenye uhakika siyo haya ya duniani.
 
Basi hapa ndipo tatizo lilipoanza....cha muhimu ni kumueleza kiuwazi kbs kuwa hufurahishwi na hicho kitu na hasa ukizingatia ww ndio unaewapokea na kuwahudumia (sio kifedha) namaanisha hasa ukiwa kama mama wa familia,Pia una haki ya kujua hivyo......ajiulize na ww ukiamua kufanya hivyo itakuwaje?????.muombe kwa upendo kama mnashauriana hayo mengine basi na hilo mshauriane pia then tazama atasemaje...akikataa rudi hapa tena tukujuze.Tena mueleze wazi kbs unamuomba hivyo maana una ona kuna matatizo yanajitokeza kwenye ndoa yenu na chanzo ni hayo maamuzi yake ya kipekee.....
Nasisitiza mueleze kwa upendo kabsa tena ukipenda subr uck kumetulia mbembeleze hata kama ni katk maandalizi ya chakula cha ucku basi unaongea au hata mkitoka out...sidhan kama atakataa...fanya siku special kwaajili ya hyo kitu naamin atakuelewa

asante..nitafanya hivyo na pindi ajikataa sitasita kuja hapa kuwajuza.
 
Mhh unauhakika wote ni ndugu wa mumeo,usikute wengine ni wake wenzio,au wanatumwa kuja kuvuruga ndoa yenu,kuwa makini na wewe aghhhr,kama na chukia vile natamani nije nikusaidie,mbona mambo hayo ya kulundika yamepitwa na wakati arghhhhhhhhh..
 
Naona safari yako imewadia kama umeanza kuwachukia ndugu wa mmeo.
 
Mhh unauhakika wote ni ndugu wa mumeo,usikute wengine ni wake wenzio,au wanatumwa kuja kuvuruga ndoa yenu,kuwa makini na wewe aghhhr,kama na chukia vile natamani nije nikusaidie,mbona mambo hayo ya kulundika yamepitwa na wakati arghhhhhhhhh..

wote ni ndugu zake na weng ni wanaume...i wsh ungekuja nisaidia
 
Back
Top Bottom