Ndugu wa mume wanaichonganisha ndoa yangu

Ndugu wa mume wanaichonganisha ndoa yangu

Dada kwako kuna mbuga za wanyama/kivutio chochote?, huyo mmeo anakuzunguka haiwezekan awatumie nauli at the same time hapendi wao kuja mjini.

Ndugu ndio wanavunja ndoa take care.Kama vipi fuga kuku, ngo'ombe,mbuzi hakuna kuweka mfanyakazi wao ndio wafanye kazi ya kusafisha mabanda,kukata nyasi, kulisha mifugo uone kama watakuja tena
 
ushauri wa nguvu za ngiza naomba usiutumie huu achana nao ni mabya zaidi kusingizia kitu kama hiki maana kinagusa direct maisha ya ndoa yenu kinaweza kukusababishia kuachwa au hata kuuwawa kwa hao ndugu zake au hata wewe acha kabisaa usifuate huu ushauri muachie aliyeleta na shetani wake
aiyaa ahaaaa nimechoka jamani khaa
 
pole sana dada,jaribu kuongea na mumeo kuwa akiwasikiliza sana ndugu hasa mawifi wengi wetu ni wavunjaji wa ndoa,ajue ndoa ni ya watu wawili tu ukiingiza ndugu tu unaharibu kila kitu kwani maneno yamakuwa mengi
 
Azonto azonto.....

............

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
tatizo lipo kwa mume wako

kama anashinda kusikiliza ndugu zake.....

na tatizo lipo kwako.....kusikiliza kila uambiwalo

nyumba inajengwa na wawili......mkishindwa kuijenga kila atakayekuja atawaburuza kama mamburura....

na wewe ushajua ndugu za mumeo wana matatizo,,,jali mambo yako shika time zako mume akikuuliza mwambie sitaki kuchonganishwa ndoani. simple
 
point ya msingi hii. itakuwa wakija kutwa wanashinda mbele ya tv........aweke mbuzi kuku wawe busy na kila anayetia mguu anapewa kazi yake

Dada kwako kuna mbuga za wanyama/kivutio chochote?, huyo mmeo anakuzunguka haiwezekan awatumie nauli at the same time hapendi wao kuja mjini.

Ndugu ndio wanavunja ndoa take care.Kama vipi fuga kuku, ngo'ombe,mbuzi hakuna kuweka mfanyakazi wao ndio wafanye kazi ya kusafisha mabanda,kukata nyasi, kulisha mifugo uone kama watakuja tena
 
mme hapo ndio tatizo,kwann awe anaambiwa halafu anakaa kimya tu? hawa ndg ni full matatizo......tuliwahi kiushi na bibi yetu alikuwa na tabia ya uchonganishi sana,yaan alikuwa akimuona baba ht km ni jua kali basi atajidai kufua au kujifanyisha kazi ilmrad tu ionekane hatumjalia......basi ndani palikuwa panawaka moto kati ya baba na mama hadi siku moja sie watoto tukaamua kuvunja ukimya kwa baba na kumwambia tumechoka na tabia za mama yake na akiendelea kumsiliza mama yake sie tutahama na mama yetu tumwache akae na mama yake. Huwezi amini my dia tangu siku ile hapakuwaka tena moto na bibi alipoona mtoto wake hamjali,aliomba arudishwe kijijini.
 
Dah pole sana mm mwny na matatizo km ayo ndug zangu wakuja nyumbani kwangu kulera fujo akiwemo na mama yangu mzazi walinivunjia kila kitu cha ndani kisa awanpendi mwanamke naye ishi na ukiangalia nimezaa naye mtoto ana miaka 3,hawataki nimuoe na upande wa mwanamke naho wanataka kumuozesha kwa mwanaume mwingine yani ni balaa cha msingi kaza moyo
 
kwa kweli umenigusa.....neno nalikumbuka nadhan na mume wangu analikumbuka...hawa ndugu hukaa zaid ya miezi 2 ndo anaindoka kesho yake anakuja mwingne.Maisha wanayoish kwangu ni yakibosi mno wanaishia kumpelekesha msichana wa kazi.Muda wote wanajiona wagen ila mie navumilia tu.Na kazi ya kufanya hawana muda wote wako idle.kazi kupiga simu kijijin kwao kuhusu yanayoendelea nyumban kwangu.Sikujua kama ndoa ndo zilivyo.
hapo kwenye RED jipange kuwa na source nying za mercury (hg), otherwise imekula kwako.......
ndugu ndugu ndugu...... hawa kwa kweli siyo wa kukaa nao sana majumbani, wawe ndugu zako au wa mume, kama inawezekana ni kukaa mbali nao. unaweza kukaa na ndugu tu kama kiukweli kabisa hakuna jinsi, otherwise kila mtu akae kwao.
sasa kwa vile hawa ni ndugu wa mume, ongea na mumeo muone uwezekano wa kutatua hilo tatizo. tena ndugu zenu wazuri wanasubiria nauli watumiwe hao ni bomba kabisa, mnaamua tu hakuna kutuma nauli. kuna jamaa ndugu zao wanakuja wanamwambia wamekopa nauli ya kujia, kwa hiyo siku anayowarudisha inabidi awape na hela ya kwenda kulipa nauli ya kujia, lol!
la kuliangalia ni kucheza na akili ya mumeo, inawezekana anafurahia ndugu zake kuwa hapo ndo maana anawatumia nauli kila mmoja anapoondoka, kwa hiyo utakapokuwa unaongea naye ongea kimtego
 
Dada kwako kuna mbuga za wanyama/kivutio chochote?, huyo mmeo anakuzunguka haiwezekan awatumie nauli at the same time hapendi wao kuja mjini.

Ndugu ndio wanavunja ndoa take care.Kama vipi fuga kuku, ngo'ombe,mbuzi hakuna kuweka mfanyakazi wao ndio wafanye kazi ya kusafisha mabanda,kukata nyasi, kulisha mifugo uone kama watakuja tena

hakuna mbuga za wanyama,ni care tu wanayoipata wakiwa pale!!
 
hapo kwenye RED jipange kuwa na source nying za mercury (hg), otherwise imekula kwako.......
ndugu ndugu ndugu...... hawa kwa kweli siyo wa kukaa nao sana majumbani, wawe ndugu zako au wa mume, kama inawezekana ni kukaa mbali nao. unaweza kukaa na ndugu tu kama kiukweli kabisa hakuna jinsi, otherwise kila mtu akae kwao.
sasa kwa vile hawa ni ndugu wa mume, ongea na mumeo muone uwezekano wa kutatua hilo tatizo. tena ndugu zenu wazuri wanasubiria nauli watumiwe hao ni bomba kabisa, mnaamua tu hakuna kutuma nauli. kuna jamaa ndugu zao wanakuja wanamwambia wamekopa nauli ya kujia, kwa hiyo siku anayowarudisha inabidi awape na hela ya kwenda kulipa nauli ya kujia, lol!
la kuliangalia ni kucheza na akili ya mumeo, inawezekana anafurahia ndugu zake kuwa hapo ndo maana anawatumia nauli kila mmoja anapoondoka, kwa hiyo utakapokuwa unaongea naye ongea kimtego

duh itabid nijifunze huko kuongea kimtego mtego...wanyiramba hawa!!!!
 
Dah pole sana mm mwny na matatizo km ayo ndug zangu wakuja nyumbani kwangu kulera fujo akiwemo na mama yangu mzazi walinivunjia kila kitu cha ndani kisa awanpendi mwanamke naye ishi na ukiangalia nimezaa naye mtoto ana miaka 3,hawataki nimuoe na upande wa mwanamke naho wanataka kumuozesha kwa mwanaume mwingine yani ni balaa cha msingi kaza moyo

ndoa hizi!! Ndugu wanatakiwa wakae mbali kwa kweli.
 
Habari ndugu wanajf,naomba mniwie radhi kama nitakuwa sina mpangilio mzuri wa andiko hili.
Nimekuja hapa jf nikiamini ni mahali pekee nitakapopata ushauri ambao utanisaidia kuiokoa ndoa yangu.
Yapata mwaka na nusu sasa tangu nifunge ndoa na mume wangu kipenzi,tumejaliwa kupata mtoto mmoja wa miez 6 sasa.Tangu nifunge ndoa ndugu wa mume hawachoki kuja nyumban kwangu kutoka kijijini kwao huko singida,mwanzo ndoa yetu ilikuwa na furaha mno ila tangu movements za hawa ndugu naona dosari zinaanza.
Wamekuwa ni watu wasiokuwa na fadhila hata kidogo,wamekuwa walalamishi mno.mbaya zaid wamekuwa wakipeleka maneno ya uongo kwa kaka yao hususan pale ndugu na rafik zangu wakija kunitembelea wanasikiliza maongez yetu(maongez ambayo ni ya kawaida sana ndo maana huwa tunaongea mbele yao) wanadai kuwa ndugu zangu wananipa kiburi sasa cjui kiburi cha nn maana naish nao vizuri na kuwajali vizuri tu.
Nashindwa kuelewa lengo haswa la hawa ndugu ni nini maana sasa hivi wanakuja kwa kupokezana utafikir wanalinda kitu.Mume wangu huwa analalamika kuja kwao ila yeye ndiye anawatumia nauli sasa cjui ananijaribu?? Ila siku zote huwa nakaa kimya pale anapolalamika.
Nimejua wao ndo wachonganishi maana kuna mmoja kati yao ananipenda sana hivyo huwasikiliza wenzie na kuja kuniambia,nikajaribu kuwa busy na mambo yangu wanalalamika tena hadi mume wangu akaniambia niwe napiga nao story maana wanalalamika...hilo pekee ndilo aliloniambia ila sijaweza kumwambia sababu ya mimi kuwa mbali nao sitaki kuwachonganisha.
Mambo mengne wanayopeleka kwa kaka yao sijui hata wanayapata wapi!! Naona tu mume wangu anakuwa na hasira zisizoisha,mbaya zaid na yeye ni mtu wa kukaa na vitu moyoni.
Naipenda ndoa yangu na nataka kuinusuru...maana nimeanza kuwachukia hawa ndugu kutokana na matendo yao.Nifanyaje wanaJF??
Naomben ushauri wenu ili niinusuru ndoa yangu.Mume wangu ananipenda sana na mimi nampenda sana.naomben msaada wenu.

Mdogo wangu activisty, Hata kabla sijasoma walichocoment wengine, nikushauri tu kuwa hiyo nyumba ni ya kwako na mumeo/familia yako

Usikubali kukaa na ndugu pasipo na sababu maalumu iwe wa upande wako au upande wa mumeo. Lazima tu watakuharibia ndoa na dalili ndio hizo. Mlioana nyie hukuolewa na ukoo mzima,. La kufanya, mshauri mumeo muone ni kwa jinsi gani watarudi kwao haraka iwezekanavyo.
 
Last edited by a moderator:
duh itabid nijifunze huko kuongea kimtego mtego...wanyiramba hawa!!!!
wadada weeengi tuna sifa ya kuwatega watu, hasa watu fulani......
sijui hapa napatia habari ya jana ya "kusogeza goli!" walilokuwa wanaongelea snowhite na The Boss! sina uhakika.....
una power kubwa sana mamiii ukiwa chumbani, itumie...... hao ndugu wataanza kukupigia wewe kuomba watumiwe nauli ya kuja kwenu. au nakosea gfsonwin?
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu activisty, Hata kabla sijasoma walichocoment wengine, nikushauri tu kuwa hiyo nyumba ni ya kwako na mumeo/familia yako

Usikubali kukaa na ndugu pasipo na sababu maalumu iwe wa upande wako au upande wa mumeo. Lazima tu watakuharibia ndoa na dalili ndio hizo. Mlioana nyie hukuolewa na ukoo mzima,. La kufanya, mshauri mumeo muone ni kwa jinsi gani watarudi kwao haraka iwezekanavyo.
rafiki uwe unasoma kwanza walichoandika wengine kabla hujajibu....
umeona sasa tumeandika sawa? hapa mwalimu ataacha kweli kutukata marks kwa kudhani tumedeseana? ha haaaa
Umenena kweli kabisaaaaaa
 
Dah! Comments za namna huwa mgogoro sana! Si ungejiandaa ndipo uje jumla jumla?

hahaha mkuu Idimi, alikuwa hajavaa, ungetaka aje uchi hapa? LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom