activisty
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 315
- 107
- Thread starter
- #21
hamuna ndugu anayekupenda hapo. utaletewaje maneno halafu uamini anakupenda? unajua anachokusema kwa ndugu wengine?
nashtuka. unazungukwa. pole yako
mmmh hilo nalo neno miss kwa kweli umenizibua masikio,ila cha kumshukuru Mungu huwa namsikiliza bila kuonesha nimechukizwa