Ndugu wa mume wanaichonganisha ndoa yangu

rafiki uwe unasoma kwanza walichoandika wengine kabla hujajibu....
umeona sasa tumeandika sawa? hapa mwalimu ataacha kweli kutukata marks kwa kudhani tumedeseana? ha haaaa
Umenena kweli kabisaaaaaa

Yaani nisingekuwa nimeweka hiyo caution mwanzoni kabisa @fp, ingekuwa msala, maana nimeshangaa tumeandika almost the same thing. it seems we also live with the same principles and values. big up
 
umeona eeehh! yaani usingesema vile ningejua ume-copy na ku-paste bila hata acknowledgement, mweeee!
It is good to know that what you think is not very far from what other people think, otherwise utajiona kama unaishi ulimwengu wa peke yako..... thanx rafiki
 
DADA yangu hizo ndio politics za ndoa, bila hizo huwezi simulia kuhusu ndoa yako. Hayo yatapita tu utapata mengine tena, usiogope lakini elewa vilevile hii ni african marriage that has to accommodate extended family, so these things are inescapable.
 
Jamani jamani ndoa tamu ni ambayo waanze maisha mume na mke na watoto,,, third party tuna matatizo sana..

Ndo maana wanawake/wanaume wengine wanaamua waolewe/waowe ushuani tu maana hizo stress...

Ndo hayo mtu analipia dstv watoto zake waangalie Disneyland but watu wazima ndugu wamejaa home kazi kuangalia super sport na tamthilia za kimapenzi tu na kuwafundisha watoto matusi ya mpira na tamthilia zao..

Kila mtu akae kwao, isipokuwa kwa sababu maalumu..
 
asante mkuu.
 
kweli kabisa.
 
Du!kweli ndoa inachangamoto nyingi sana.kumbuka ndoa ni ya watu wawili na usiwe kinyonga mbele za ndugu wa mume.kama wewe ni blue waonyeshe hivyo.wape mlo mmja kwa siku nayo iwe ni futari na pika ugali maharage mfululizo mwezi mzima wataaga wenyewe!
 
Kama nimeielewa msg vizuri, inaonyesha kuwa hata wewe ndugu zako huwa wanakujaga ijapo hujasema wanakaaga muda gani. Nakushauri hivi, anza wewe kuwafunga break ndugu zako kuja kukaa hapo kwako kabla hujakuwa na nguvu ya kuliongea hili na mwezio juu ya ndugu zake.

Pili, ndoa ni mume na mke..wazazi na ndugu hawana nafsi juu ya ndoa yenu. Usipoweza kulitatua hilo tatizo now (mapema) huko mbeleni hutoweza tena.

Tatu, kama wewe unashindwa kuongea hii ishu na mwenzio, mwendee mtu mzima mmama mtu mzima hivi mwenye busara na hekima na kumwadhithia haya, ili kwa wakati wake yule mama amwite mumeo na aongee naye taratibu juu wewe kutotaka ku'entertain ndgu za pande mbili.

Nne, na ambalo nadhani ni dawa zaidi ni kwa wewe kumwambia; ndugu waje kusalimia lakini sio kulala.Ikibidi walale basi akawapangie nyumba ya wageni lakini sio kwako...aaamue,nduge zake au wewe ndio aishi nao maisha ya ndoa.
......Chanzo cha Utumwa, ni Mtumwa mwenyewe........
 
ili uweze kuokoa ndoa yako inabidi uwe na roho ya ugaidi kidogo,kua mkali,na muulize mumeo kati yako ww na nduguze yupi anapaswa kua nae,jibu lazima litakua wewe,akijibu hivyo piga marufuku ndugu kuja kwako hovyo isipokua wazazi tu,mimi pia ilikua hivyo ila kwa sasa naishi kwa amani baada ya kupiga marufuku coz hata mama mkwe akija anakuja kwa adabu na si kila mara tofauti na zamani,ndugu wa mume ukiwaendekeza ni tatizo!
 
Kama alivyo kueleza mumeo jaribu kupiga nao story,unapo jitenga itaonyesha kuwa unamajivuno nakujiona upo juu na kuwadharau wao kwa kuwa niwakijijini.

akiendelea kua nao karibu ndio watapata ya kusema,aendelee hivyo hivyo na mume akiuliza amwambie kabisa kua siwahitaji so wakiona vp wasepe kwani hawana kwao,kujazana kwny nyumba ya mwenzao ndio nini?ingekua mm ningewakomesha
 
Du!kweli ndoa inachangamoto nyingi sana.kumbuka ndoa ni ya watu wawili na usiwe kinyonga mbele za ndugu wa mume.kama wewe ni blue waonyeshe hivyo.wape mlo mmja kwa siku nayo iwe ni futari na pika ugali maharage mfululizo mwezi mzima wataaga wenyewe!

Ilo neno...maana huwa hatupiki maharage tena eti hawayapendi...
 
akiendelea kua nao karibu ndio watapata ya kusema,aendelee hivyo hivyo na mume akiuliza amwambie kabisa kua siwahitaji so wakiona vp wasepe kwani hawana kwao,kujazana kwny nyumba ya mwenzao ndio nini?ingekua mm ningewakomesha

I wish ningekuwa jasiri kama wewe
 
ili uweze kuokoa ndoa yako inabidi uwe na roho ya ugaidi kidogo,kua mkali,na muulize mumeo kati yako ww na nduguze yupi anapaswa kua nae,jibu lazima litakua wewe,akijibu hivyo piga marufuku ndugu kuja kwako hovyo isipokua wazazi tu,mimi pia ilikua hivyo ila kwa sasa naishi kwa amani baada ya kupiga marufuku coz hata mama mkwe akija anakuja kwa adabu na si kila mara tofauti na zamani,ndugu wa mume ukiwaendekeza ni tatizo!

Asante passion lady,nitazingatia
 
Kama nimeielewa msg vizuri, inaonyesha kuwa hata wewe ndugu zako huwa wanakujaga ijapo hujasema wanakaaga muda gani. Nakushauri hivi, anza wewe kuwafunga break ndugu zako kuja kukaa hapo kwako kabla hujakuwa na nguvu ya kuliongea hili na mwezio juu ya ndugu zake.

Pili, ndoa ni mume na mke..wazazi na ndugu hawana nafsi juu ya ndoa yenu. Usipoweza kulitatua hilo tatizo now (mapema) huko mbeleni hutoweza tena.

Tatu, kama wewe unashindwa kuongea hii ishu na mwenzio, mwendee mtu mzima mmama mtu mzima hivi mwenye busara na hekima na kumwadhithia haya, ili kwa wakati wake yule mama amwite mumeo na aongee naye taratibu juu wewe kutotaka ku'entertain ndgu za pande mbili.

Nne, na ambalo nadhani ni dawa zaidi ni kwa wewe kumwambia; ndugu waje kusalimia lakini sio kulala.Ikibidi walale basi akawapangie nyumba ya wageni lakini sio kwako...aaamue,nduge zake au wewe ndio aishi nao maisha ya ndoa.
......Chanzo cha Utumwa, ni Mtumwa mwenyewe........

Ndugu zangu wakija wanaondoka siku hiyo hiyo..hakuna ndugu yangu hata mmoja aliyewah kulala kwangu hata kwa usiku mmoja.
 
AAAAAh kila siku wewe nakuja tu nakuja kama vipi leo nakamataaa mguuu ubaki hapa hapa....

Ndio sababu huu mwaka tulisema hatutaki comments za namna ile. Watu tunajadili mambo serious, mtu anakuja na comments za 'Napita Tu' au anaandika 'Loading....' au 'Network search' au 'mie simo, naenda home'. Kwani mtu hawezi kupita kimya kimya? Huwa nakereka sana na watu wa namna hiyo, kama ulivyokereka wewe mwenzangu!
 
pole sana kwa tatizo hilo mama.....ninaomba kukuuliza swali dogo.....huwa munashauriana na mumeo mambo yenu yote au ndo kila mtu anaamua mwenyewe?.

ktk hili ni vyema mkakubaliana wote kuwa nan aje kwa muda gani na kwasababu gani sio mtu anakuja tu kama kwenda chooni.Andaeni utaratibu mzuri mnaokubaliana na sio mtu anaamua kutuma nauli afu wanakuja kujazana tu,kama wanahitaji msaada wasaidiwe wakiwa huko.Na hapa ndipo utakaoona umuhimu wa kushauriana ktk kila jambo kwenye ndoa maana ninyi ni kitu kimoja,
 
I wish ningekuwa jasiri kama wewe

nitafute kwa muda wako nikufundishe mbinu za kua jasiri,kila siku ndugu wa mume alaaaa!dawa ni kuwaadabisha,mi wa kwangu hawatonisahau na wanikome kabisa, coz hua wanashikwa vizuri wanajifanya mabazazi!mazoooo!
 
nakupm rafki...
 
Back
Top Bottom