Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

Nukuu "... wakati mwili wa Mushi, aliyejiua kwa risasi na kumuua mama mkwe wake, Anastazia Saro pamoja na kumjeruhi mchumba wake Ufoo, ukiagwa..."

Uandishi katika Vyombo vyetu vya "Bongo", iwe katika Kishahili au katika "ng'eng'e" ni janga!

Isitoshe, Marehemu Mushi bado ni MTUHUMIWA wa kujeruhi, kuua na kujiua kwa risasi kwa sababu uchunguzi wa Tukio bado kukamilika.

Hivyo angalau ingesomeka "... wakati mwili wa Marehemu Mushi, anayetuhumiwa kumjeruhi kwa risasi Mzazi mwenzie, Ufoo Saro, kumuua kwa risasi Mama wa Ufoo na kisha kujiua mwenyewe kwa risasi, ukiagwa..."
 
Watu wote walizuiwa kumwona isipokuwa ... ,duh! anatafuna pia nasikia tena kitambo,mzalendo wa uwekezaji mpaka kwa wajukuu.
 
Unamaanisha Mzee wa Vitalu vya Gesiasilia, Baba Wawili? Anawekeza "rasilimali" mpaka Machame? Duh!
 
kwani kujipiga risasi mara mbili inashindikana?

Lazima kulikuwa na purukushani

nan atakaa tu apigwe risasi kama kondoo
 
Kama sijakosea.sijasikia wala kusoma kokote walipoelezea mmiliki wa silaa iliyotumika.hili me naona pia ni utata.
Pia nadhani vyombo vya habari ndio vilianza kutoa taarifa kwamba Mushi kaua na kajiua.Je nani aliwaambia hivyo.Kweli hapo kuna mengi yamejificha.Pole kwa familia zote.
NB.kama uchunguzi wa hii kesi utakwenda vizuri itakuwa mojawapo ya kesi ya kujifunzia.
 
Hili swala wa si utata kwa kujipiga risasi mbili.kwanza tukio linaonesha huyu jamaa alikuwa na silaha yenye ku load more than 8 bullets maana yeye kajipiga 2 mkewe 2 mama mkwe 5 lakin kawaida ya risas inapoingia mwlinili ikikutana na damu mwili unatabioa ya kufa ganzi kwaiyo kama alijirenga kidevun ni dhahiri mwili ulipoanzakufa ganzi wakat mkono unashuka kidole kilikuwa bado na trigger ikashuti began maana ktk hali ya kawaida huwezi kujipiga began ukitegemea utakufa.
Lakin kwa ufo naye hatuambia palikuwa na kurupushani gani maana kwa risasi tano kwa mama yake na na bastola inavyoonekana ambayo ilitumika kutokana na capcity ya risasi zilizotoka japo hatujaambiwa walikuta risas ngap zkwenye magazine ni dhahisi sem automatic kiasi kwamba ndani ya sekunde 15 paka 20 alikuwa ametumia kumpiga mama yake sasa kwa wakati huo yeye alichukua defense gan au kuna nn kiliendelea
 
Hapa panaweza kuwa na mengi sana.tuvute subira tutaona,akina Msangi hawajaanza uchunguzi bado?au wanasubiri FBI waje kusaidia uchunguzi.
 
Nukuu "... wakati mwili wa Mushi, aliyejiua kwa risasi na kumuua mama mkwe wake, Anastazia Saro pamoja na kumjeruhi mchumba wake Ufoo, ukiagwa..."

Uandishi katika Vyombo vyetu vya "Bongo", iwe katika Kishahili au katika "ng'eng'e" ni janga!

Isitoshe, Marehemu Mushi bado ni MTUHUMIWA wa kujeruhi, kuua na kujiua kwa risasi kwa sababu uchunguzi wa Tukio bado kukamilika.

Hivyo angalau ingesomeka "... wakati mwili wa Marehemu Mushi, anayetuhumiwa kumjeruhi kwa risasi Mzazi mwenzie, Ufoo Saro, kumuua kwa risasi Mama wa Ufoo na kisha kujiua mwenyewe kwa risasi, ukiagwa..."

Pokea bonge la like!
 
Watu wote walizuiwa kumwona isipokuwa ... ,duh! anatafuna pia nasikia tena kitambo,mzalendo wa uwekezaji mpaka kwa wajukuu.
Mkuu una hatari wewe ujue, haya bwana, kwahiyo unataka kusema kwamba nanii ndio kasababisha haya, mim isitaki kuamini bwana
 
Hapa panaweza kuwa na mengi sana.tuvute subira tutaona,akina Msangi hawajaanza uchunguzi bado?au wanasubiri FBI waje kusaidia uchunguzi.

Mimi naona kama kwenye nchi zetu hizi mara nyingi marehemu huwa hashindi kesi. Kwa hiyo muda si mrefu Ufoo atakuwa ameshinda kesi. Tehe tehe tehe.
 
Hili swala wa si utata kwa kujipiga risasi mbili.kwanza tukio linaonesha huyu jamaa alikuwa na silaha yenye ku load more than 8 bullets maana yeye kajipiga 2 mkewe 2 mama mkwe 5 lakin kawaida ya risas inapoingia mwlinili ikikutana na damu mwili unatabioa ya kufa ganzi kwaiyo kama alijirenga kidevun ni dhahiri mwili ulipoanzakufa ganzi wakat mkono unashuka kidole kilikuwa bado na trigger ikashuti began maana ktk hali ya kawaida huwezi kujipiga began ukitegemea utakufa.
Lakin kwa ufo naye hatuambia palikuwa na kurupushani gani maana kwa risasi tano kwa mama yake na na bastola inavyoonekana ambayo ilitumika kutokana na capcity ya risasi zilizotoka japo hatujaambiwa walikuta risas ngap zkwenye magazine ni dhahisi sem automatic kiasi kwamba ndani ya sekunde 15 paka 20 alikuwa ametumia kumpiga mama yake sasa kwa wakati huo yeye alichukua defense gan au kuna nn kiliendelea

Bullet to the brain through the chin will never let any part of your muscle twist except the relaxation of iris, diaphragm and sphincters!!!!!! Correct me if m wrong!!!!!!

Unless he shot the shoulder first and then the chin!!!!!!
 
Kama na hilo la mauaji alilofanya Mushi na yeye kujiua mnabisha basi kataeni hata Syria hakuna vita,ukoo wa ajabu kabsa huu!
 
Back
Top Bottom