Ndugu Harris Kapiga

Status
Not open for further replies.
mnamchafua tu kaka wa watu.kutinda nyusi ni part of grooming...mikaka ya jf inadhani kuwa wachafu wachafu na kunukia kibeberu beberu ndio uanaume!,harris be yourself mwaya....haya maneno hayapunguzi kitu chochote kwako.....ila tu be cautious kwa mtu anayekutinda nyusi mwambie asipunyue sana kama wadada,wanaume zinabaki kuwa nzito kidogo...ndivyo nilivyoona hapa ulaya.

hamna hata mmoja aliyekuinamisha au aliyekuona unainamishwa,,kutinda nyusi doesnt prove you are gay achana nao washamba washamba hawa!!!
 
Yani we acha tu. Mi nakaribia kuacha kusikiliza hicho kipindi ambacho nilikuwa sikikosi. sasa si gospo traks, bali ni gospo talks maana longolongo zimekuwa ndo ada ya kipindi
Hehehee eti gospo talks...
Anyway mm ni mpenzi sana wa nyimbo za injili na husan kipindi hicho cha 'gospo traks'. Ila niwe mkweli naona Harris kama hatutendei haki kabisa mashabiki wake, kipindi kinapoteza maana na mvuto kabisa sasa.
Alikuja na vionjo vya kusoma magazeti ya kikirsto the only thing that I appreciate, lakini kwenye nyimbo kaharibu jumla.

Natanga tanga sana jpili asbh sijui niskilize nini, tena siku hizi muda umeongezwa yaani tungefaidi sana.
mimi langu ni hili tu hayo mengine ndo kwanza kuyasoma hapa na picha ndo kuiona hapa nasikiaga tu sauti. Leo amelalamika sana kwenye kipindi na amesema Mungu atamlipia ....
 
anallalamika nini? kwani yeye ni wa kwanza kuambiwa analiwa kiboga? Yeye afanye kazi vizuri ya GT na siyo kutuletea Gospo za kichovu. Kilichomtoa Praise Power nini hadi kuja clouds redio? Redio hii mimi naipenda kwa kubuni kipindi cha ukweli cha Gospo Tracks ambazo zinainua mioyo yetu. Rudi mtangulizi wa HK please yeye mpeni kipindi kingine kama vile Njia Panda.
 
Mkuu kama unaongelea harusi iliyofanyika Diamond Jubilee ilikuwa poa sana aliendesha vizuri sana, Beef zako na yeye usichangaye na kazi yake. Yule ni Mtanashati safi na kijana amempokea Kristo..

Kama usemalo kweli basi huyu kijana ajiangalie na ajichunge kwani lisemwalo lipo kama halipo laja!. Isije siku tukakuta picha zake kwenye mitandao akiwa kainamishwa!(Mungu apishe mbali).
 
Kijana Harris Kapinga,
Kwa kweli sikufahamu wala hivyo vipindi vyako huku niliko havisikiki,ila kuhusiana na issue ya kukamerouniwa hapo kama ni kweli basi, acha mara moja mrudie mola wako wa kweli, TUBU na cahana nahuo upuuzi.
Kutinda nyusi ni ulimbukeni wako tu so unaweza kuendelea nao au kuacha,
Ila huko kuwa BWABWA ndio balaa, ACHA.
 
Kijana Harris Kapinga,
Kwa kweli sikufahamu wala hivyo vipindi vyako huku niliko havisikiki,ila kuhusiana na issue ya kukamerouniwa hapo kama ni kweli basi, acha mara moja mrudie mola wako wa kweli, TUBU na cahana nahuo upuuzi.
Kutinda nyusi ni ulimbukeni wako tu so unaweza kuendelea nao au kuacha,
Ila huko kuwa BWABWA ndio balaa, ACHA.

Mhhh!!!! kazi kweli kweli
 
Mmh basi juzi baada ya kusoma habari hii nilipishana naye pale Mugabe, basi mbele yake kulikuwa na gari kama limeziba njia kiaina, basi HK alimtazama kwa dharau sana yule kaka na Mark II yake. Mhh nikasema kalidharau gari au dreva wa gari. Nadhani alidharau dreva, manaa gari yake mwenyewe ilikuwa hizi ''baby walker'' za siku hizi ambazo kwetu Kimara ukikwama kwenye pothole vijana watano wanainyanyua juu na kukuvusha huku wewe na mkeo mkiwa ndani yake......
 
Yani we acha tu. Mi nakaribia kuacha kusikiliza hicho kipindi ambacho nilikuwa sikikosi. sasa si gospo traks, bali ni gospo talks maana longolongo zimekuwa ndo ada ya kipindi

We ndo unafikiria kuiacha waka wengine tulishaisau?haina mvuto hata kidogo,jamaa nikupiga stori tu tena za umbea isiyokuwa na mashiko!hakika clouds was my favourite radio sunday morning,but it become a nasty radio now a days!hivi nini maana gospel trucks?inaumuhimu gani basi kuitwa hilo jina wakati haiko hivyo!Harris Kapiga fuata nyayo za mwenzako,watu tuenjoy burudani za kwaya na siyo stori tu tu tu!ulikuwa mtu mzuri ulipokuwa kwenye radio ya Dr Lwakatare,but now your like damn nitch!turn your neck!
 
haris mbona husikii? jumapili umeendeleza story zako kwenye Gospel Track hadi nikahama clouds radio. hadithi ya nini wewe kwenye nyimbo za injili? Ruge please Haris anachakachua kipindi hafai mpeleke kwenye sinema yeye na zamaradi kutamfaa.
 
he has to work on the whole thing....
kipindi kizima atacheza nyimbo sijui 'kumi', muda unaobaki mpaka awapaishe washikaji zake sijui wako china, marekani, japan....aaagrrrr yaani fulu kuboa!!!

his selection is monotonous...boring!!!
na hivi ni lazima apige kwaya za dhehebu fulani tu? (au madhehebu machache so to say)

Kweli mkuu yuko bias sana
 
.....ila tu be cautious kwa mtu anayekutinda nyusi mwambie asipunyue sana kama wadada,wanaume zinabaki kuwa nzito kidogo...ndivyo nilivyoona hapa ulaya.
dah, huku ni bongo bana sio ulaya acha kumpotosha mwenzako, ataliwa kiboga kweli.
 
wanaume wengi hapo daslma wameharibika sana.........na siku hizi mawasiliano yameboreshwa kuna facebook nk wala hawapati tabu...dada zetu wana kazi kwa kweli maana marijali tumebaki wachache sana!!kuna marijali wengine huwez amini nao wanashikishwa.......tup akule
 
maaweee!mbona tunamhukumu?kuna mtu alishuhudia mambo hayo kwa kijana huyu?
 
Presha imenipanda kwa kweli, harris huyu nayemjua mie? Au nimemchanganya? Sio yule wa Terminal?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom